Sashel
JF-Expert Member
- Mar 6, 2012
- 212
- 84
Sashel..........kutii ni kumthamini...period...................na siyo nidhamu ya woga kama wengineo wanavyofikiri........hususani Kaunga....Ni kumjali na kumtakia mema naye aweze kujisikia nia yako hiyo hapo hana ujanja lazima atakupenda tu kama wewe ndie wakupendwa naye. Waweza kuwa ni wakupendwa naye lakini akaona unambishia bishia sana kama vile unahoji madaraka yake kwako hata kama anakupenda vipi mwisho wa yote atakutapika tu......................hata kama utakuwa naye beneti atatafuta mpango wa kando kujisetiri na rabsha zako................running away from the insolent woman
Hapo nakubaliana na wewe 101%