Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

Kiu ya mwanaumme kwa binti ni…

Sashel..........kutii ni kumthamini...period...................na siyo nidhamu ya woga kama wengineo wanavyofikiri........hususani Kaunga....Ni kumjali na kumtakia mema naye aweze kujisikia nia yako hiyo hapo hana ujanja lazima atakupenda tu kama wewe ndie wakupendwa naye. Waweza kuwa ni wakupendwa naye lakini akaona unambishia bishia sana kama vile unahoji madaraka yake kwako hata kama anakupenda vipi mwisho wa yote atakutapika tu......................hata kama utakuwa naye beneti atatafuta mpango wa kando kujisetiri na rabsha zako................running away from the insolent woman

Hapo nakubaliana na wewe 101%
 
Manumbu kwanini sio "ukimpenda naye atakutii"? Kwanini uanz utii?

By the way, nani anayetaka sana mahusiano kati ya mume na mke (disregard financial factor)? Kama ni wote, as it is supposed to be; then kila mtu a-play part yake; na kama mdau alivyosema hapo juu, mtongozaji ndio anaonesha interest first hivyo aoneshe upendo kwanza ili apokee zawadi/malipo ya 'utii'

Kaunga hicho kiburi chako hakitakufikisha mahali popote..........kumpenda kwako is natural......lakini yeye kukuheshimu is subject to wewe kumtii.......bila ya kumtii hawezi hata kukutongoza ile ya kiukweliukweli tena akigundua humtii na unamchukulia kijuujuu atakuja na dhoruba ya kukukomoa.....na kukupa penzi la uongo na ukweli khalafu baadaye anahakikisha kakuachia maumivu makali ya kibuti kisicho na maelezo..................just to teach you an enduring lesson..........jaribu na utaona a man's behaviour........towards you
 
Last edited by a moderator:
.......... ni kumthamini na kuhakikisha saa zote wamtakia mema......................na akithibitisha hilo penzi lake lote hana wa kumpa ila ni wewe tu...........

Mimi naondoka na sentensi yako hiyo, maana hapo tunakubaliana; ila for the sake ya kubishana na kalale nacho kidali po, njia yangu ya kumthamini anaweza aone kama najifanya kujua sana au najaribu kuwa mama yake...kipimo ni nini?
 
Hapo nakubaliana na wewe 101%

kumbuka Sashel lazima uanze kumwonyesha ya kuwa unamtii kwa maana ya kujisalimisha kwake..........khalafu kama kweli anakupenda atafanya yale ambaye ni mema kwako................kama hafanyi yale ambaye ni mema kwako baada ya kujisalimisha ujue huyo hakupendi kwa hiyo jiandae kumshushia kibuti cha uhakika ili kumsaidia aendako awe kuna kitu umemfunza.........LOL
 
Last edited by a moderator:
tatizo la Sashel na Kaunga ni kuwa kumtii ni nidhamu ya woga ..........si hivyo hata kidogo ni kumthamini na kuhakikisha saa zote wamtakia mema......................na akithibitisha hilo penzi lake lote hana wa kumpa ila ni wewe tu...........

Sasa ruta umeshamuoa au mpo kwenye mahusiano atakutakia mabaya vipi? maana yakikupata yatamgusa tu na yeye.!! embu labda nipe kascenario
 
Rutashubanyuma, you are a true son of Adam; kila cheating na hurting anayofanya mwanaume ni result ya matendo ya mwanamke wake!

Nimegoma kukubali disappointment nilizopata nimesababisha mimi, sorry sir. Nitakubali < or 50% responsibility na si zaidi; nami niliowasababishia maumivu we have equal au nimezidi part nilizoplay!
 
Last edited by a moderator:
Mimi naondoka na sentensi yako hiyo, maana hapo tunakubaliana; ila for the sake ya kubishana na kalale nacho kidali po, njia yangu ya kumthamini anaweza aone kama najifanya kujua sana au najaribu kuwa mama yake...kipimo ni nini?

Inategemeana naye anataka nini....Kaunga.......to marry his own mother if he was a mother's boy...............au he is looking for a real wife depending on his needs he will react accordingly.............kubwa usipoende kumbishia sana ataona you are a rival.................and the first reaction to a rival is to subdue her............whether by punching her or degrading her via infidelity or some certain counter reactions.....................the price of insubordination can be staggering.................why risk it all for winning an argument here and ther?
 
Hilo nalo neno Kaunga...waswahili walisema 'Mama nipe radhi kuishi na watu kazi' nadhani mama alijibu 'tenda wema uende zako'....lol
 
UPENDO huzaa yote haya. Kukiwa na upendo baina yao basi mwanamke atatimiza wajibu kama mwanamke na mwanaume atatimiza wajibu wake kama mwanaume ndani ya ndoa/nyumba. Upendo uwe wa maneno vitendo na hisia hakika mtayaweza maisha. Kusambaratika ni kukosa upendo au upendo kupungua baina yao.

Pakawa lazima umtii kwanza na hapo kuna uwezakano wa upendo.....utajitokeza na ndivyo Mungu alivyotuumba.......Am only sharing my personal experience as a man who has loved and knows how lack of a woman submission puts me off even though I may have found her quite adorable........ ........................utajaziliza mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Sasa ruta umeshamuoa au mpo kwenye mahusiano atakutakia mabaya vipi? maana yakikupata yatamgusa tu na yeye.!! embu labda nipe kascenario

Sashel.........ukijaribu kuonekana unahoji nafasi yake kama kiongozi wa familia..............ana sababu ya kuanza kukugeuzia kibao................tatizo ni kuwa he feels insecure and he needs to remind you who is incharge..........
 
Last edited by a moderator:
Pakawa lazima umtii kwanza na hapo kuna uwezakano wa upendo.....utajitokeza na ndivyo Mungu alivyotuumba.......Am only sharing my personal experience as a man who has loved and knows how lack of a woman submission puts me off even though I may have found her quite adorable........ ........................utajaziliza mwenyewe

Rutashubanyuma nachukua liberty ya kujaza mwenyewe.
I think unapenda sana attention....
I think unapenda sana authority....
I think unapenda sana kudekezwa...
I think wewe ni mtoto wa kiume pekee....
I think wewe ni kitinda mimba.....
I think........
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma, you are a true son of Adam; kila cheating na hurting anayofanya mwanaume ni result ya matendo ya mwanamke wake!

Nimegoma kukubali disappointment nilizopata nimesababisha mimi, sorry sir. Nitakubali < or 50% responsibility na si zaidi; nami niliowasababishia maumivu we have equal au nimezidi part nilizoplay!

Kaunga.....Cheating is a sign of a problem....most likely your man feels insecure...............na anatafuta namna ya to re-assert his authority over you........there is always a price to pay when you nag or remind him of his shortcomings............every time you do that or compare him with other successful men your submission is taking its toll and the price is since his love to you is proportional to your submission every time you are lowering your submission he will love you less or proportional to your submission to him...........na kwenye hili there is no partiality.........hakuna mie ni mzuri au nimesoma au mbona nina mkate mkubwa kulikoni yeye............it menas nothing to restore his ego...........
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma nachukua liberty ya kujaza mwenyewe.
I think unapenda sana attention....
I think unapenda sana authority....
I think unapenda sana kudekezwa...
I think wewe ni mtoto wa kiume pekee....
I think wewe ni kitinda mimba.....
I think........

authority and attention could be true the rest do not relate to me at all.............................mnapenda wanaumme wa kuwaendesha yaelekea Kaunga na [MENTION]Sashel [/MENTION]LOL
 
Last edited by a moderator:
Inategemeana naye anataka nini....Kaunga.......to marry his own mother if he was a mother's boy...............au he is looking for a real wife depending on his needs he will react accordingly.............kubwa usipoende kumbishia sana ataona you are a rival.................and the first reaction to a rival is to subdue her............whether by punching her or degrading her via infidelity or some certain counter reactions.....................the price of insubordination can be staggering.................why risk it all for winning an argument here and ther?

okey got your point..I 'll hail his royal ego...so hard to please a man...gosh!
 
okey got your point..I 'll hail his royal ego...so hard to please a man...gosh!

Sashel let it be natural and please don't flatter him for that is not submission it is a lie, and he will detect it and make sure you pay accordingly............to your anguish..........
 
Rutashubanyuma, kwa maneno mengine; what u r trying to say ni kuwa wanaume ni kama watoto then hawana responsibility yoyote kwani kila wanachofanya ni reaction ya mwanamke? Na sisi tuyafnyayo ni reaction ya nani/nini?r women superbeing or what? Kama matatizo na mafanikio yote duniani yanakuwa trigered na mwanamke?

Sielewi!
 
Last edited by a moderator:
kiu ya mwanaume kwa mwanamke ni love and care

[MENTION]nangwa[/MENTION] siyo kweli kiu yetu ni kuona wanatupatia utii tu na hayo mengineyo ni alili zake za kututhibitishia ya kuwa kumbe wanajisalimisha kwetu khalafu baada ya hapo tutawapenda........
 
authority and attention could be true the rest do not relate to me at all.............................mnapenda wanaumme wa kuwaendesha yaelekea Kaunga na [MENTION]Sashel [/MENTION]LOL

Napenda lively home, not boring monarchy-like home filled with yes sir au ikiwekewa sukari kidogo yes dear kind of a home!
 
Last edited by a moderator:
Hilo nalo neno Kaunga...waswahili walisema 'Mama nipe radhi kuishi na watu kazi' nadhani mama alijibu 'tenda wema uende zako'....lol

Sashel kila unapotenda wema unamkopesha mwenyezi Mungu amabye yeye tu ndiye mwenye uwezo wa kukufidia sasa kama Mungu ndiye uliyemkopesha mwanadamu si yabidi uende zake kwanza hawezi kukulipa na ukitarajia chochote kwake basi unamzuia Muumba kukupa kila alichokupangia kukushukuru kwa kumuenzi......................
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom