technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mechi 3 bao 0 yaani ufungi bao dakika 270 kwenye mpira haya ni maajabu kwa timu inayotetea ubingwa.
Wachezaji hawajitumi Wala hawana Hali kabisa ukiwatazama usoni.
Pamoja na kuuza wachezaji wawili ila Simba Kuna tatizo la kiufundi kwani Kuna mechi nyingi msimu ulioisha chama alikuwa amefiwa hakucheza lakini Simba walipata matokeo.
Ushauri benchi la ufundi Simba lifumuliwe inaoneka either kocha anaingiliwa maamuzi haiwezekani leo Maneno ya watu yasababishe Mugalu asipangwe.
Hii imeonyesha uwezo mdogo wa bench la ufundi.