KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Hata kama ni ww lazima ukate tamaaTangu Wachezaji wajue kuwa wanafundishwa na kocha mwenye"kadiploma" wamekata tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama ni ww lazima ukate tamaaTangu Wachezaji wajue kuwa wanafundishwa na kocha mwenye"kadiploma" wamekata tamaa
Hata kama ni ww laziءؤ,,,😂😂😂😂😂
YesMm mmh wale Dodoma Jiji ndo wameanza na moto balaa, Simba wasiende kinyonge Coz tayar washatengeneza confidence kwa hivi vitimu vidogo
Bado Simba wanatengeneza timu .Hahahahaaa,dalili ya mvua ni mawingu.Jeuri,Dharau na Tambo zilizidi kupita kiasi mkamsahau Mungu na kujiona nyie wenyewe ndiyo kila kitu,Sasa Mungu anataka kuwaonyesha kwamba bila yeye hamfuhi dafu .Mpaka mgundue kosa lilipo na kujisahihisha itachukua muda mrefu.Mtapata tabu sana.Kule kimataifa mnaenda kupigwa kipigo Cha kudharilishwa ni suala la Muda tu kama kawaida yenu goli 4 au 5 au zaidi ya hapo.Kanoute Bwalya
Banda Sakho Mhilu D.Nyoni
Hapo kuna timu moja balaa inatengenezeka. Ni muda tu unahitajika.
Bocco na Kagere walikuwa kama miti kule mbele, hawana movement. Wakiondolewa kwenye first 11 tutakuwa very dynamic team.
Simba ishachukua kombe la Ligi mara 4 mfululizo.Bado Simba wanatengeneza timu .Hahahahaaa,dalili ya mvua ni mawingu.Jeuri,Dharau na Tambo zilizidi kupita kiasi mkamsahau Mungu na kujiona nyie wenyewe ndiyo kila kitu,Sasa Mungu anataka kuwaonyesha kwamba bila yeye hamfuhi dafu .Mpaka mgundue kosa lilipo na kujisahihisha itachukua muda mrefu.Mtapata tabu sana.Kule kimataifa mnaenda kupigwa kipigo Cha kudharilishwa ni suala la Muda tu kama kawaida yenu goli 4 au 5 au zaidi ya hapo.
Ila Yusuf Mhilu kwa mpira ule wa jana sijamwelewa ujue. Yaani alikuwa anaanguka anguka tu.Hii timu imeshinda ligi ×4, ASFC ×3 na caf CL QF ×2
Baada ya mafanikio yote hayo ni kawaida morale ya kushinda inashuka.
Tunahitaji timu mpya changa yenye wachezaji wenye njaa ya mafanikio
Mwenda, Inonga, Abdusamad, Mhilu, Kanoute, Sakho, Banda, Nyoni, Mwanuke na Kibu ni mwanzo mzuri.
Msimu ujao tutaendelea kutengeneza timu mpya.
Wewe labda ulimwona Mhilu wa Buza.Ila Yusuf Mhilu kwa mpira ule wa jana sijamwelewa ujue. Yaani alikuwa anaanguka anguka tu.
Kumbe we ni mtu wa Yanga, mbona wachambuzi uchwara hawasemi kitu kwanini mmetolewa hatua za awali club bingwa,Biriani imekuwa Gimbi🤣🤣🤣🤣🤣
Uto huyo asikusumbue afu nae ni GTMkuu, wewe ni shabiki wa Simba??? Kama ndio, huogopi utaitwa Uto????
Tatzo udhamini wa Mo + mafanikio ya simba vinawauma sanaKumbe we ni mtu wa Yanga, mbona wachambuzi uchwara hawasemi kitu kwanini mmetolewa hatua za awali club bingwa,
Ingekuwa ndio Simba ungesikia kila kukicha hilohilo
ExactlyTatzo udhamini wa Mo + mafanikio ya simba vinawauma sana
Nadra sana kuzikutaa zipo zote vizuriTatizo timu za Simba na Yanga ziatathminiwa ubora kutokana na mafanikio ya Yanga au Simba.
Yanga ikifanya vizuri basi Simba inakuwa mbovu.
Simba ikifanya vizuri hapo hapo Yanga inakuwa mbovu.
Bado tunahitaji wachezaji wajitume.Simba imeimarika sana msimu huu kuliko msimu jana kama kigezo ni mechi nne za awali.....!!!
MSIMU JANA
(1) Ihefu 1 Simba 2
(2) Mtibwa 1 Simba 1
(3) Prisons 1 Simba 0
(4) Simba 0 Ruvu 1
MSIMU HUU
(1) Biashara United 0 Simba 0
(2) Dodoma jiji 0 Simba 1
(3) Simba 1 Police Tanzania 0
(4) Simba 0 Coastal Union 0
Wachezaji wanajituma ila tu hakuna kiongozi uwanjani wa kuituliza timu ikiwa na presha na ule utulivu katika final third haupo ila ni swala la muda tu timu itakaa sawaBado tunahitaji wachezaji wajitume.
Ila kajamaa ww ni kaongo. Mbona umeruka biashara, gwambina na jkt tanzia?Simba imeimarika sana msimu huu kuliko msimu jana kama kigezo ni mechi nne za awali.....!!!
MSIMU JANA
(1) Ihefu 1 Simba 2
(2) Mtibwa 1 Simba 1
(3) Prisons 1 Simba 0
(4) Simba 0 Ruvu 1
MSIMU HUU
(1) Biashara United 0 Simba 0
(2) Dodoma jiji 0 Simba 1
(3) Simba 1 Police Tanzania 0
(4) Simba 0 Coastal Union 0