technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tangu Wachezaji wajue kuwa wanafundishwa na kocha mwenye"kadiploma" wamekata tamaa
Biriani imekuwa Gimbi🤣🤣🤣🤣🤣Tangu Wachezaji wajue kuwa wanafundishwa na kocha mwenye"kadiploma" wamekata tamaa
Mm mmh wale Dodoma Jiji ndo wameanza na moto balaa, Simba wasiende kinyonge Coz tayar washatengeneza confidence kwa hivi vitimu vidogoTwende dodoma tupoteze ndo akili itaka sawa
Mkuu, wewe ni shabiki wa Simba??? Kama ndio, huogopi utaitwa Uto????Mechi 3 bao 0 yaani ufungi bao dakika 270 kwenye mpira haya Ni maajabu kwa timu inayotetea ubingwa.
Wachezaji hawajitumi Wala hawana Hali kabisa ukiwatazama usoni.
Pamoja na kuuza wachezaji wawili ila Simba Kuna tatizo la kiufundi kwani Kuna mechi nyingi msimu ulioisha chama alikuwa amefiwa hakucheza lakini Simba walipata matokeo.
Ushauri benchi la ufundi Simba lifumuliwe inaoneka either kocha anaingiliwa maamuzi haiwezekani leo Maneno ya watu yasababishe Mugalu asipangwe.
Hii imeonyesha uwezo mdogo wa bench la ufundi.
Safari hii rafiki zao TFF hawajaanza kutoa mbeleko yao.Biriani imekuwa Gimbi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]