Kiufundi Simba Kuna tatizo kubwa

Kanoute Bwalya
Banda Sakho Mhilu D.Nyoni

Hapo kuna timu moja balaa inatengenezeka. Ni muda tu unahitajika.

Bocco na Kagere walikuwa kama miti kule mbele, hawana movement. Wakiondolewa kwenye first 11 tutakuwa very dynamic team.
Bado Simba wanatengeneza timu .Hahahahaaa,dalili ya mvua ni mawingu.Jeuri,Dharau na Tambo zilizidi kupita kiasi mkamsahau Mungu na kujiona nyie wenyewe ndiyo kila kitu,Sasa Mungu anataka kuwaonyesha kwamba bila yeye hamfuhi dafu .Mpaka mgundue kosa lilipo na kujisahihisha itachukua muda mrefu.Mtapata tabu sana.Kule kimataifa mnaenda kupigwa kipigo Cha kudharilishwa ni suala la Muda tu kama kawaida yenu goli 4 au 5 au zaidi ya hapo.
 
Simba ishachukua kombe la Ligi mara 4 mfululizo.
Mnataka ichukue milele ?
Mnatakiwa mkaze buti mwaka huu huenda mkalikosa tena.
Wala hamna guarantee ya kulichukua 2022
Lolote linaweza kutokea
 
Ila Yusuf Mhilu kwa mpira ule wa jana sijamwelewa ujue. Yaani alikuwa anaanguka anguka tu.
 
Biriani imekuwa Gimbi🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe we ni mtu wa Yanga, mbona wachambuzi uchwara hawasemi kitu kwanini mmetolewa hatua za awali club bingwa,

Ingekuwa ndio Simba ungesikia kila kukicha hilohilo
 
Kumbe we ni mtu wa Yanga, mbona wachambuzi uchwara hawasemi kitu kwanini mmetolewa hatua za awali club bingwa,

Ingekuwa ndio Simba ungesikia kila kukicha hilohilo
Tatzo udhamini wa Mo + mafanikio ya simba vinawauma sana
 
Tatizo timu za Simba na Yanga zinatathminiwa ubora kutokana na mafanikio ya Yanga au Simba.

Yanga ikifanya vizuri basi Simba inakuwa mbovu.
Simba ikifanya vizuri hapo hapo Yanga inakuwa mbovu.
 
Reactions: Lee
Tatizo timu za Simba na Yanga ziatathminiwa ubora kutokana na mafanikio ya Yanga au Simba.

Yanga ikifanya vizuri basi Simba inakuwa mbovu.
Simba ikifanya vizuri hapo hapo Yanga inakuwa mbovu.
Nadra sana kuzikutaa zipo zote vizuri
 
Simba imeimarika sana msimu huu kuliko msimu jana kama kigezo ni mechi nne za awali.....!!!

MSIMU JANA

(1) Ihefu 1 Simba 2
(2) Mtibwa 1 Simba 1
(3) Prisons 1 Simba 0
(4) Simba 0 Ruvu 1

MSIMU HUU

(1) Biashara United 0 Simba 0
(2) Dodoma jiji 0 Simba 1
(3) Simba 1 Police Tanzania 0
(4) Simba 0 Coastal Union 0
 
Bado tunahitaji wachezaji wajitume.
 
Ila kajamaa ww ni kaongo. Mbona umeruka biashara, gwambina na jkt tanzia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…