Kwanza kwenye chama tawala haya ya sasa ni maigizo hata mkibalia wagombea watatu mgombea wa Mwisho anachaguliwa sio kwa kura bali kwa matakwa ya viongozi bila hata kuhojiwa sababu! Hivyo hakuna mchakato wa kidemokrasia ndani ya CCM .
Pili kuna watu wamekatwa bila sababu yeyote na hawaja ambiwa sababu zaidi ya ukweli kwamba wengine ni washindani wa viongozi na wengine ni wazalendo!. Na kwasbabu wengine kama Gambo, Makamba, Mpina wangeweza kushinda wamezuiwa kabisa kwenye mchakato
Pili tume za chaguzi kwa kuanzia zina namba fake za wapika kura namba ya milioni 37 sio ya kweli
Tatu matokeo ya uchaguzi wowote yanatokana na matakwa binafsi ya Raisi, family yake na vigogo marafiki zake na machawa. Kura hazina maana ni kiini macho tu!
Kwa misingi hiyo Tanzania kwa sasa hakuna hata nafasi mmoja ambayo mtu yupo na atakuwepo kwasbabu zaidi ya ukweli kura. Kupiga kura kwa sheria za sasa ni kupoteza muda
Ndiyo maana No reform no election ni muhimu sana