Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
 
Kodi za wananchi ndizo chanzo kikuu cha mapato ya serikali, Kodi hukusanywa kwa fedha zetu (TZS). Serikali ikihitaji kununua nje, inabadilisha fedha zetu kuwa dola kupitia BoT au benki za biashara.

Unavyosema kodi zetu hazihusiki kusingekuwa na umuhimu wa kukusanya Kodi.
 
Wewe utakuwa askari, mwenyekiti wa kijiji au mjumbe wa nyumba 10. Hawa mara nyingi huwa kichwani ni empty kabisa ndo mtaji wetu wa Chama.
 
sahihi kabisa however hata usingelipa hio kodi bado hio reserve ipogo tu, serikali haiihitaji tsh ili kubadilisha pesa, na benki za biashara hazifanyia manunuzi yoyote ya serikali na rate ya hio conversion inatoka serikalini
 
Reserve inatoka kwa watu.

Mazao, Dhahabu, utalii, ngozi, samaki, etc

Mpaka korosho, mahindi na ufuta
NOP, inatokana na mauzo ya nje kwa nchi ambazo hatuna ubia wa biashara wa moja kwa moja, mfano mtu akija mbuga za wanyama, tukiuza dhahabu ama mazao, serikali will just credit you in tsh lakini hio dola wataitafuta binafsi
 
Wewe utakuwa askari, mwenyekiti wa kijiji au mjumbe wa nyumba 10. Hawa mara nyingi huwa kichwani ni empty kabisa ndo mtaji wetu wa Chama.
sasa si unaona wewe ndo uko empty kilichozungumziwa hujakielwa mpaka sasa
 
sahihi kabisa however hata usingelipa hio kodi bado hio reserve ipogo tu, serikali haiihitaji tsh ili kubadilisha pesa, na benki za biashara hazifanyia manunuzi yoyote ya serikali na rate ya hio conversion inatoka serikalini
Elimu elimu elimu. Kweli tuna safari ndefu sana kama taifa.
 
Back
Top Bottom