kila kitu umeelezea vizuri however kuna concept ndogo unakosea,
1) Serikali na BOT ni vitu 2 tafauti, Sheria Miongozo na kanuni za benki kuu zinajitegemea
2) Ukifanya exchange ya dola kwenda tsh, rate unayopewa sio economic rate kwa mfano mda huu 1 usd ni sawa na 2500, haina uhusiano wowote na uzito wa uchumi, they are manually created
3) Serikali haifanyi conversion inapotaka pesa za kufanya manunuzi nje, so hata kama ulilipa kodi mil 1, serikali haiwezi chukua hio mil 1 na kusema nipe $480, yenyewe itaandika kitu kinaitwa IOU kwenda benki kuu na benki kuu itakamilisha hayo malipo, hivo baasi ata kama haukutoa kodi muamala wa manunuzi nje ulitegemea IOU na sio kiasi cha makusanyo alicho nacho serikali