Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

1.Huwezi tenganisha B.O.T na Serikali,B.O.T ni Tasisi iliyo chini ya Serikali na imenzishwa na Serikali.
2.kuna aina 2 za kufanya exchange,B.O.T wanaweza tumia fixed exchange rate au kufanya exchange inayotokanana na nguvu ya soko-njia zote kwa pamoja.Utumiaji wa hizo njia zote inategemeana na uimara wa uchumi na maamuzi ya Serikali.
3.mkuu nimetoka kukueleza kuwa B.O.T ndio ina dhamana ya kutunza fedha kwa niaba ya Serikali,so hata kama Serikali itaandika hiyo document ya IOU kwenda B.O.T kwa ajili ya kufanya expenditure ni lazima B.O.T alipe fedha tasilimu ili kununua hicho kitu kwa niaba ya Serikali.lwa maana hiyo B.O.T ni lazima awe na fedha na hizo Fedha zinatokana na kodi na tozo mbalimbali za Serikali kutoka kwenye shughuli za kiuchumi.
You're just wasting your energy, hawezi kukuelewa au atajifanya hakuelewi.
One of the two.
 
Huo uzi ulioniwekea umejaa uongo mtupu . Naona unajaribu kujifunza uchumi ngoja nikupe kidogo ninyoshee mambo kabla ya kuja kwenye uzi huu, wenda una nia ya ya kujifunza.
Kwanza ujue hizi terms 1. interbank market 2. market makers 3. forex market.

Ulichoongelea kule ni Forex market ila hujui forex inavyofanya kazi, nitakupa maelezo mafupi sana ambayo na uhakika utaelewa maana nitakuandikia kwa lugha nyepesi kabisa.

Forex market ni biashara ya kuuza pesa. Sasa wauzaji wa pesa ni ma bank makubwa ambayo yanakuwa kama Deutsch bank, Citi bank nk. Basi haya mabank hua yanatangaza mnanda mda wote hizi pesa zote duniani, mfano wanasema nauza Ksh kwa Tsh 20, hakuna anayenunua kwa mfano, wanashusha mtu ananunua kwa Tsh 15. Ni mnada unaoendelea mda wote ndiyo maana bei yake kila sekunde inabadilika.

Central bank ya nchi mfano (BoT) inaingia hapo ktk forex ni kusitablizer Tsh isishuke sana ama kupanda sana. Inafanya je BoT? kama Tsh imeshuka thamani itauza resevu zake ambazo ni dollar na kununua Tsh. Na kama Tsh imepanda sana thamani BoT itauza Tsh zake na kununua Dollar hivyo kuipunguza Tsh thamani.

Hakuna makubaliano ya nchi na nchi ktk Forex ama anayepanga Exchange. Nitarudi ukionyesha utulivu na kumkataa mwl wako aliyekufundisha uongo.
 
but unajua unaongea na mtu ambae aashapita BOT?
Hata mimi huwa napita BOT nikiwa naenda gogoni na kivukoni, hoja yako ni ipi sasa? Kwamba ukiishi pembeni ya mahakama utakuwa unajua sheria?
 
Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
🤣🤣🤣😂
 
Hiki ni kichwa empty kabisa, hukuwah kusoma hata commerce au economics, au international finance.??? Hata concept ya balance of payment huijui??
Sasa ninaizi kumuelewa yule mzee aliyesema kipaumbele chake cha kwanza ni elimu, cha pili Elimu, na cha tatu ni elimu.
 
utaelewa tu sku bado hujachelewa
 
Hata mimi huwa napita BOT nikiwa naenda gogoni na kivukoni, hoja yako ni ipi sasa? Kwamba ukiishi pembeni ya mahakama utakuwa unajua sheria?
kama hauna hoja achana nayo, we jadili kilichopo mezan
 
Mtoto wako akija kusoma ulichoandika hapa atakukana.
ukiangalia replies zangu zote uko juu, kila aliekuja na agenda yake akiwa anadhan anajua uchumi unavofanya kazi namkubalia anavotaka, na nafurahi kuona kumbe watu wengi hamuelewi uchumi
 
1.Huwezi tenganisha B.O.T na Serikali,B.O.T ni Tasisi iliyo chini ya Serikali na imenzishwa na Serikali.
2.kuna aina 2 za kufanya exchange,B.O.T wanaweza tumia fixed exchange rate au kufanya exchange inayotokanana na nguvu ya soko-njia zote kwa pamoja.Utumiaji wa hizo njia zote inategemeana na uimara wa uchumi na maamuzi ya Serikali.
3.mkuu nimetoka kukueleza kuwa B.O.T ndio ina dhamana ya kutunza fedha kwa niaba ya Serikali,so hata kama Serikali itaandika hiyo document ya IOU kwenda B.O.T kwa ajili ya kufanya expenditure ni lazima B.O.T alipe fedha tasilimu ili kununua hicho kitu kwa niaba ya Serikali.lwa maana hiyo B.O.T ni lazima awe na fedha na hizo Fedha zinatokana na kodi na tozo mbalimbali za Serikali kutoka kwenye shughuli za kiuchumi.
🤣 🤣 🤣 labda cha kukusaidie we endelea kulipa kodi, tutaeleweshana apa kitu ambacho hutaki kuelewa, maybe someday uko mbele utaelewa ila for you we endelea kushika unachokijua
 
Ili Taasisi ya Fedha ikukopesha pesa lazima waangalie uwezo wako wa kiuchumi wa kulipa hiyo pesa,na hela ya kulipa huo mkopo bado ni hizo hizo tax
ingekua ivo nchi nyingi wala zisingekopeshwa maaana deni hua linaongezekaga na halijawahi kulipwa, infact haliwezi kupungua lakini bado tunaweza kukopa. kwaa kifupi wewe na uchumi hutaelewa na wala siwezi kukulazimisha kila mtu aliejibu anajaribu kujitetea nawaangalia nacheka tu but nafurahi mkiendelea ivo ivo
 
Just cut the chase and hit it.
Straightforward questions need straightforward answers.
i think google unayo na national dept imewekwa pale straight, si umeona toka umeanza kutuma screenshot zako nakuangalia nakuacha tu, kiufupi wengi wenu uchumi haumuuelewi and thats ok kwa sababu kuchimba ndan hamtaki
 
Huo uzi ulioniwekea umejaa uongo mtupu . Naona unajaribu kujifunza uchumi ngoja nikupe kidogo ninyoshee mambo kabla ya kuja kwenye uzi huu, wenda una nia ya ya kujifunza.
Kwanza ujue hizi terms 1. interbank market 2. market makers 3. forex market.

Ulichoongelea kule ni Forex market ila hujui forex inavyofanya kazi, nitakupa maelezo mafupi sana ambayo na uhakika utaelewa maana nitakuandikia kwa lugha nyepesi kabisa.

Forex market ni biashara ya kuuza pesa. Sasa wauzaji wa pesa ni ma bank makubwa ambayo yanakuwa kama Deutsch bank, Citi bank nk. Basi haya mabank hua yanatangaza mnanda mda wote hizi pesa zote duniani, mfano wanasema nauza Ksh kwa Tsh 20, hakuna anayenunua kwa mfano, wanashusha mtu ananunua kwa Tsh 15. Ni mnada unaoendelea mda wote ndiyo maana bei yake kila sekunde inabadilika.

Central bank ya nchi mfano (BoT) inaingia hapo ktk forex ni kusitablizer Tsh isishuke sana ama kupanda sana. Inafanya je BoT? kama Tsh imeshuka thamani itauza resevu zake ambazo ni dollar na kununua Tsh. Na kama Tsh imepanda sana thamani BoT itauza Tsh zake na kununua Dollar hivyo kuipunguza Tsh thamani.

Hakuna makubaliano ya nchi na nchi ktk Forex ama anayepanga Exchange. Nitarudi ukionyesha utulivu na kumkataa mwl wako aliyekufundisha uongo.
forex sio biashara na haijawahi kua biashara, forex ni kitendo cha kubadilishana FOR-EX (Foreign exchange)
2) Hakuna bank inafanya forex kama biashara. benki inafanya exchange sio trading
3) hakuna soko la forex na hakuna sehem wanapokea buyers and sellers, forex ni kitendo sio soko na hakuna anaeruhusiwa kufanya forex trading on behalf of the central bank, wengine wote wanafanya exchange na wanatumia rate iliowekwa na benki kuu
4) central bank doesnt stabilize the currency, central bank creates policies to favour a currency for example 1$ = 2500 tsh, hii ni policy na haina uhusiano wowote na transactions zozote zilizofanyika, hivo basi ni kitu cha kawaida kukuta nchi yenye uchumi wa hovyo na ina sarafu yenu ukwasi mkubwa mfano mzuri ni japan na kenya ama mozambique na tanzania ama rwanda na tanzania
5) Usiwe confident kwa kitu ambacho umekiskia in theory, kama hujaambiwa na mtu alie kwenye mitambo ama umeshapitia kwenye mitambo we chil other wise watakaokuona unajua ni wenzako ambao nao waliskiliza theory
 
Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
Nawapa pole wazazi waliuza ng’ombe ili wapeleke ng’ombe nyingine shule
 
forex sio biashara na haijawahi kua biashara, forex ni kitendo cha kubadilishana FOR-EX (Foreign exchange)
2) Hakuna bank inafanya forex kama biashara. benki inafanya exchange sio trading
3) hakuna soko la forex na hakuna sehem wanapokea buyers and sellers, forex ni kitendo sio soko na hakuna anaeruhusiwa kufanya forex trading on behalf of the central bank, wengine wote wanafanya exchange na wanatumia rate iliowekwa na benki kuu
4) central bank doesnt stabilize the currency, central bank creates policies to favour a currency for example 1$ = 2500 tsh, hii ni policy na haina uhusiano wowote na transactions zozote zilizofanyika, hivo basi ni kitu cha kawaida kukuta nchi yenye uchumi wa hovyo na ina sarafu yenu ukwasi mkubwa mfano mzuri ni japan na kenya ama mozambique na tanzania ama rwanda na tanzania
5) Usiwe confident kwa kitu ambacho umekiskia in theory, kama hujaambiwa na mtu alie kwenye mitambo ama umeshapitia kwenye mitambo we chil other wise watakaokuona unajua ni wenzako ambao nao waliskiliza theory
Angalia point yako namba 4, dude you’re pathetic.
IMG_8331.jpeg
IMG_8333.jpeg
 
Bado sana mkuu kumbe unasoma bado notice za darasani. Eti policy kwamba 1$=2500 hiyo policy inabadilika kila sekunde?
 
Back
Top Bottom