Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

View attachment 3478101
Dogo haujielewi kabisa, something is terribly wrong in your head.
Who lied to you kwamba nchi bila madeni ina-collapse?
Yaani leo kuwa kuwa na balanced budget ndiyo iwe sababu ya nchi ku-collapse? Story za vijiweni unazileta JF.
Ongeza na Russia kabla haijazulumiwa $300 bilioni na nchi za magharibi.
 
Unadhani haelewi haya!? Binafsi sidhani.
Probably uwezo wake wa uelewa ni mdogo sana, hata common logic of reasoning kwake ni utata. There are two possibilities, he is either deliberately trying to deceive us for whatever the reasons probably directed to do that or he has zero knowledge on finances and economy.
 
View attachment 3478101
Dogo haujielewi kabisa, something is terribly wrong in your head.
Who lied to you kwamba nchi bila madeni ina-collapse?
Yaani leo kuwa kuwa na balanced budget ndiyo iwe sababu ya nchi ku-collapse? Story za vijiweni unazileta JF.
as i said umeegemea kutuma screenshot so hutaelewa because your here trying to prove something
 
Wakuu nipeni fimbo ya mpera alafu woooote rudini nyuma huyu mleta uzi ni mlamba asali wa viwango vikubwa vikubwa huyu
 
Amakweli sasa naelewa yale maneno ya ule wimbo nilikuwa naimbiwa na dada Adelina akiwa ananinywesha uji.

"peleka mutoto shule, apate elimu eeeeeh atafaidikaaa kwa maishaa yakeeeee"

Hivi wewe umeishia darasa la ngapi, unajua kitu kinachoitwa Usd reserve pale BOT?
but unajua unaongea na mtu ambae aashapita BOT?
 
Probably uwezo wake wa uelewa ni mdogo sana, hata common logic of reasoning kwake ni utata. There are two possibilities, he is either deliberately trying to deceive us for whatever the reasons probably directed to do that or he has zero knowledge on finances and economy.
Dont be so confident when you explain something your only understand theoretically, on the other side i am happy you did choose to continue being ignorant so that you wont understand economics completely, there is a reason for that
 
Hizo foreign currency za kulipa deni zinatoka wap?
1758707925083.png
 
Mkuu unapotosha Serikali kupitia B.O.T hupata pesa kupitia kodi na tozo kutoka kwenye shughuli za uchumi(bidhaa na huduma).Serikali huzitunza fedha hizo B.O.T.

Unapouza bidhaa nje ya nchi utalipwa kwa USD,ukirudi Tanzania huwezi kutumia USD kufanya shughuli zako utahitaji Tshs,na hapo ndio utahitaji B.O.T au commercial bank kupata hayo madafu.

Hiyo USD yako uliyokuja nayo kutoka huko ulipokwenda kuuza hiyo bidhaa,pamoja na USD zingine zingine walizo lipa watalii ili wapate tshs zitajumuishwa na kutunzwa B.O.T na hii ndio tafsiri ya akiba ya fedha ya kigeni.

Serikali ikitaka kufanya expenditure itatumia hiyo akiba ya USD kufanya manunuzi nje,kumbuka hiyo akiba imetokana na exchange ya tshs & USD iliyotokana na kodi na tozo zilizolipwa

So,Issue ni kuwa ili B.O.T akupe tshs wewe utakapo leta hizo USD zako,ni lazima awe na hizo tshs na anazipata kupitia kodi na too mbalimbali.
 
swali zuri, reserves znatokana na mauzo ya nje, serikali inaweza kufanya project yoyote kubwa bila kutegemea kodi, kwa mfano inaweza kuanzisha project kama SGR ambayo ata ukisema ukusanye kodi miaka 10 bado haitafika amount ya kuanzisha huo mradi, kiuhalisia kodi ni kwa ajili ya miradi ya ndan na kulipa mishahara
Hiyo hela ya kufanya hiyo project ww kama Serikali utaoitoa wapi?? bila kodi??
 
Back
Top Bottom