Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

NOP, inatokana na mauzo ya nje kwa nchi ambazo hatuna ubia wa biashara wa moja kwa moja, mfano mtu akija mbuga za wanyama, tukiuza dhahabu ama mazao, serikali will just credit you in tsh lakini hio dola wataitafuta binafsi
Baki tu na kutunga vitabu kama nyambari nyangwine...uchumi hauna ujualo ....we ni empty set
 
Unajua unatumia izi screenshot because you dont understand it, so ata nkikuelekeze utaishia kubisha
Mental health is real, you need help.
Unadhani wote wanaojaribu kukuelimisha hawana uelewa? Unashindwa kujibu vitu ambavyo viko straightforward sasa ingekuwa ni complex issues si ungegeuka bubu kabisa.
Unayazungumzia madeni as if ni misaada ambayo haipaswi kulipwa. Ukiulizwa foreign currencies zinapatikaje unajibu madeni je na hayo madeni yanalipwaje? You just keep hanging in the air with no supporting sensible or solid arguments.
Let's agree to disagree on the matter.
 
hakuna mtu anaweza kumaliza kulipa deni
lakini pia malipo hufanyika kutokana na mauzo ya nje ya nchi kwa madeni ambayo sio makubwa
although mengi husamehewa baada ya siasa za apa na pale
Hajazungumzia kumaliza deni, amezungumzia kuliba na pia hata kumaliza deni hakuzuliwi.
Don't twist issues.
 
hakuna mtu anaweza kumaliza kulipa deni
lakini pia malipo hufanyika kutokana na mauzo ya nje ya nchi kwa madeni ambayo sio makubwa
although mengi husamehewa baada ya siasa za apa na pale
Hivi unafamu kuna nchi hazina madeni ya nje, no matter how small they're lakini topic ni external debts.
 
Mental health is real, you need help.
Unadhani wote wanaojaribu kukuelimisha hawana uelewa? Unashindwa kujibu vitu ambavyo viko straightforward sasa ingekuwa ni complex issues si ungegeuka bubu kabisa.
Unayazungumzia madeni as if ni misaada ambayo haipaswi kulipwa. Ukiulizwa foreign currencies zinapatikaje unajibu madeni je na hayo madeni yanalipwaje? You just keep hanging in the air with no supporting sensible or solid arguments.
Let's agree to disagree on the matter.
kuna tafauti kati ya mtu anaetaka kuelewa na anaetaka kubisha, wengi wapo apa kubisha of which its ok silazimishi mtu
 
Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
Wee wacha! Kwahiyo wanatumia hela kutoka mifukoni mwao.
 
Zipo nchi zilizofanya vizuri kulipa madeni japo sio kumaliza , na kodi za wananchi kulipa madeni hayo zikahusika
hakuna nchi inaweza kulipa madeni yake, yale mlengo wake sio uchumi bali siasa
 
kuna tafauti kati ya mtu anaetaka kuelewa na anaetaka kubisha, wengi wapo apa kubisha of which its ok silazimishi mtu
Wewe ndiye unayebisha bila kutaka kuelewa hata simple logics ni either kwa makusudi au uelewa wako ni mdogo it's hard to tell.
 
Chenye thamani ni kitu gani? Ambacho tutamtenga mwananchi asiwe na haki ya kulalamikia matumizi mabovu ya mikopo?
kuna kitu nmeandika alafu nkafuta 😂 , ipo sku utaelewa kwann dunia nzima kila sehem amna mwenye uchumi unaowafurahisha mwananchi mmoja mmoja
 
kuna kitu nmeandika alafu nkafuta 😂 , ipo sku utaelewa kwann dunia nzima kila sehem amna mwenye uchumi unaowafurahisha mwananchi mmoja mmoja
Nakuelewa sana,ila kusema magari yanayonunuliwa kodi ya wananchi haihusiki hii ni hadaa
 
Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
Mkuu umewahi kutumia Alibaba au AliExpress kununua kitu China? Ulikuwa dola kwenye Card yako ya VISA/MASTERCARD?
 
Back
Top Bottom