Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

Yanalipwa na fedha kutokea wapi?
hakuna mtu anaweza kumaliza kulipa deni
lakini pia malipo hufanyika kutokana na mauzo ya nje ya nchi kwa madeni ambayo sio makubwa
although mengi husamehewa baada ya siasa za apa na pale
 
Inategemea umesoma chuo kipi na umefundishwa na nani. Mfano, gunia la kilo mia za mchele, linaweza kuwa na punje ngapi za mchele?
wewe kama unaona unajua uchumi zaidi sjakulazimisha kuelewa nlichoandika, pia wewe hujui background yangu labda unaona kwa elimu yako uko sahihi, its pretty fine
 
hakuna mtu anaweza kumaliza kulipa deni
lakini pia malipo hufanyika kutokana na mauzo ya nje ya nchi kwa madeni ambayo sio makubwa
although mengi husamehewa baada ya siasa za apa na pale
Hata kama husamehewa , madeni yatalipwa tu na ndio maana kodi na tozo zinakuwa mizigo kwa wananchi
 
Unafahamu kwa nini imf wanahimiza uboreshaji wa pato la ndani kama kigezo ya kupata mikop?
we si umeuliza sifa za kupata mkopo na nmekujibu, kingine uchumi ni nadharia sio kitu halisi, lengo la uchumi ni matabaka sio kukuza upatikanaji wake
 
wewe kama unaona unajua uchumi zaidi sjakulazimisha kuelewa nlichoandika, pia wewe hujui background yangu labda unaona kwa elimu yako uko sahihi, its pretty fine
Elimu ni nini? Elimu ni kutoa mawazo yako unayoyafikiria kichwani mwako na kukupa mawazo sahihi yaliyokubalika na kuthibitika kijamii na kisayansi. Tusichoke kujifunza vitu sahihi.
 
we si umeuliza sifa za kupata mkopo na nmekujibu, kingine uchumi ni nadharia sio kitu halisi, lengo la uchumi ni matabaka sio kukuza upatikanaji wake
Umetaja baadhi ya vigezo vingine umeruka
 
Back
Top Bottom