Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
swali zuri: tunatozwa kodi kufanya uendeshaji wa ndan ya nchi na kustabilise uchumi mfano wale wenye vipato vya juu hutozwa zaidi ili kufanya wasio nacho kabisa wapate huduma za msingi, kwa lugha nyepesi kuhamisha pesa kubwa kuwapa ahueni wasio nacho kabisa, lakini sehem kubwa zaidi hutumika kulipa mishahara
Sekta ya utalii inaleta fedha ya kigeni, wao katika uendeshaji wanatumia sarafu ipi, na wanazipataje? Sekta ya madini inaleta fedha ya kigeni lakini katika uendeshaji wa ndani wanatumia sarafu ya ndani, je wanaipataje? Sekta ya mafuta inatumia fedha za kigeni na haizalishi fedha za kigeni, ile hasara ya fedha za kigeni inabebwa na nani? Nb. Kuwepo na sheli nyingi ni hasara kwa serikali, kwa sababu mafuta mengi yatanunuliwa kwa fedha za kigeni huku hiyo sekta ikiwa haizalishi fedha za kigeni.