Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

Tatizo ni elimu tu, inawezekana mitaala ya elimu inatudumaza kwenye kufikiri ndio maana hatuvumbui vitu wala kujiajiri. Tutafute elimu ata uchina kama inawezekana.
 
Watu wajinga kama ninyi ndio mmelifanya Taifa kuwa hapa lilipo Pumbavu kabisa, you are a very useless person 🚮 🚮. Kawadanganye Machawa wenu wa Lumumba kule.
huoni kama watu wenye akili waana taarifa ambazo wewe huna
 
Safi ,bank kuu wanaweza kupata dollars kwa kufanya mauzo nnje , mfano mazao , dhahabu na nk je hili unakubali?
hawawezi, benki za kawaida zina kiasi kidogo cha dola in cash lakini malipo yote makubwa ya dola yanafanyika kupitia benki kuu, benki za biashara lengo lake kuu ni kupata faida hivo dola walizonazo watakupa kwa kiasi kidogo cha nyongeza, kwa mfano kama benki kuu itasema dola moja ni 2500 basi wao watakuuzia kwa 2600
 
Swali, mdhamini mkuu wa hizo fedha kama reserves ndani ya bank kuu ni nani ?
 
Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
Screenshot_20250923-170939.jpg
Screenshot_20250923-170956.jpg
Screenshot_20250923-171012.jpg
 
Fedha za kigeni zinatumika kwa ajili ya kununua mahitaji ya bidhaa za nje.baina ya nchi na nchi.

Na ndio maana nchi ambazo zinamategemezi makubwa wa bidhaa za nje , hua ni rahisi kuathirika wanapowekewa vikwazo vya kiuchumi.

Nchi itashindwa kununua mahitaji yake kama ya afya, chakula, ujenzi etc, kwa hiyo uchumi wa nchi husika huathirika pakubwa.
 
Sahihi, hizo fedha za kigeni zinatoka wapi? Na kwa dhamana ipi
 
unamaanisha nn mkuu
Sekta zinazoleta fedha za kigeni ni zipi? Gharama za kuendesha hizo sekta za kigeni wanatumia sarafu ipi? Sekta zinazotumia fedha za kigeni huku hazizalishi fedha za kigeni ni zipi? Kwa nini tunatoza kodi kwa sarafu yetu?
 
😅
 
swali zuri: tunatozwa kodi kufanya uendeshaji wa ndan ya nchi na kustabilise uchumi mfano wale wenye vipato vya juu hutozwa zaidi ili kufanya wasio nacho kabisa wapate huduma za msingi, kwa lugha nyepesi kuhamisha pesa kubwa kuwapa ahueni wasio nacho kabisa, lakini sehem kubwa zaidi hutumika kulipa mishahara
 
Back
Top Bottom