Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 6,895
- 11,025
Uko sahihi kabisa 100%serikali haifanyi conversion ya dola kwenda tsh wala vice versa! hio rate ni kwa ajili ya wananchi
Uko sahihi kabisa 100%serikali haifanyi conversion ya dola kwenda tsh wala vice versa! hio rate ni kwa ajili ya wananchi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣serikali haifanyi conversion ya dola kwenda tsh wala vice versa! hio rate ni kwa ajili ya wananchi
Kivipi?Uko sahihi kabisa 100%
whatever am trying to explain depends on your willing to understand the overall global economy, if you find it as bullshit just go where u find usefull infoDon't bring your pathetic bullshit, where to they get the foreign currencies? Is it that the foreign currencies just drop like manna from heaven?
Nieleweshe kidogo hapa mkuu, hio reserve ya dola ililetwa na nani? Na nini? Haikuletwa na rasilimali za nchi? na exports za wafanyabiashara wa kitamzania?wanatumia tu reserve ya dola benki kuu, izo profojo za kodi ni agenda za wapinzani kuwapumbaza watu
Where did I mention kwamba huwa nanunu $? Huwa nikienda TZ naenda nazo au ninakuwa nimesha-deposit so literally napeleka $ lakini natumia TShs.unanunua dola kutoka kwa nan?
Nimefurahi tu , kwamba kodi zinazokusanywa na serikali in tsh, haziwezi badilishwa kwenye fedha za kigeni na kuwa akiba kama manunuzi ya nnje ? Kivipilakini pia sio lazima kuelewa but ukipata hio elimu naotaka kuelimisha utaelewa concept kubwa sana ya uchumi, usipotaka pia
V8 zinatoka hapa hapa kwa Madon wa mjini Karimjee family hapahapa Dar es Salaam. Nyie mpeni madafu yenu yeye Dollar anazijua atazitoa wapi...mtoa mada endelea kuendesha baiskeli yako ya bure uku ukisubiria October ukatiki uwape kula wachumia tumbo.Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
Cut the crap and answer the questions, just as simple as that.whatever am trying to explain depends on your willing to understand the overall global economy, if you find it as bullshit just go where u find usefull info
Hili nilijinga kupindukia takataka kabisa.Mleta uzi unauelewa na ulichokiandika au umekurupuka tu.
Ficha ujinga wako kwakuto tolea ufafanuzi jambo usilolifahamu.
uko sahihi hivo ndo dola huletwa! HOWEVER point yetu apa ni wakati wa manunuzi kutoka nje, tuseme serikali inataka kununua v8 nje, basi itaenda moja kwa moja pale benki kuu ni kuomba kitu kinaitwa IOU maaana yake ni kwamba tunajua mna dola mmehifadhi tuazime tufanye manunuzi lakini tutarudisha tukishafanya makusanyo ya utalii ama mauzo ya dhahabu!Nieleweshe kidogo hapa mkuu, hio reserve ya dola ililetwa na nani? Na nini? Haikuletwa na rasilimali za nchi? na exports za wafanyabiashara wa kitamzania?
Mbona kama hyo hufanyika pale ambapo nchi haina fedha za kutosha?uko sahihi hivo ndo dola huletwa! HOWEVER point yetu apa ni wakati wa manunuzi kutoka nje, tuseme serikali inataka kununua v8 nje, basi itaenda moja kwa moja pale benki kuu ni kuomba kitu kinaitwa IOU maaana yake ni kwamba tunajua mna dola mmehifadhi tuazime tufanye manunuzi lakini tutarudisha tukishafanya makusanyo ya utalii ama mauzo ya dhahabu!
nice, so here is the question when you convert your tsh to dollars, where did you think the extra dollar came from?Where did I mention kwamba huwa nanunu $? Huwa nikienda TZ naenda nazo au ninakuwa nimesha-deposit so literally napeleka $ lakini natumia TShs.
Uko sahihi pia lakini BOT hawalazi pesa, its has to circulate, usiichukulie kama wamekaaga wanazo zmekaa tu pale apana, most of the amount zipo in terms of creditMbona kama hyo hufanyika pale ambapo nchi haina fedha za kutosha?
Safi ,bank kuu wanaweza kupata dollars kwa kufanya mauzo nnje , mfano mazao , dhahabu na nk je hili unakubali?kwa sababau benki kuu tayar wana hio pesa inaohitajika in dollars