min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Huwa hizo reserves ndani ya bank kuu zinatoka kwenye vyanzo gani?zipo benki kuu
Huwa hizo reserves ndani ya bank kuu zinatoka kwenye vyanzo gani?zipo benki kuu
We jamaa mbona kama haupo sawa? Hiyo Tshs ndio inayobadilishwa na kuwa dola kutegemeana na inapotakiwa kutumika. Au unafikiri dola inachimbwa chini?elewa concept, wewe unalipa kodi kwa tsh
Wewe utakuwa askari, mwenyekiti wa kijiji au mjumbe wa nyumba 10. Hawa mara nyingi huwa kichwani ni empty kabisa ndo mtaji wetu wa Chama.sasa si unaona wewe ndo uko empty kilichozungumziwa hujakielwa mpaka sasa
wanatumia tu reserve ya dola benki kuu, izo profojo za kodi ni agenda za wapinzani kuwapumbaza watu
Ukaachana na hivyo vyanzo , required reserves huwa zinatoka wapi?vyanzo vikuu hua vinatajwa kila mwaka kwenye ripoti ya mwaka wa fedha, kwa mfano mpaka sasa vyanzo vyetu ni utalii pamoja na mauzo ya dhahabu
Hakuna conversion yoyote inafanyika, hio rate unayoonaga ya dola 1 ni sawa na 2400 ama 2500 inaitwa FLOATING EXCHANGE RATE maaana yake imetengenezwa manually, kazi yake ni kudiscourage ama encourage matumizi ya dola ndan ya nchi, ukitoka nje ya mipaka ya tanzania hakuna sehem ingine wanakubali Tsh, kwa lugha nyepesi Tsh ni pesa kwa ajili ya matumizi ya ndan hivo basi aata serikali ikukusanya trillion 100 za tsh kama benki kuu haina dola hakuna namna nchi inaweza kuendeshekaWe jamaa mbona kama haupo sawa? Hiyo Tshs ndio inayobadilishwa na kuwa dola kutegemeana na inapotakiwa kutumika. Au unafikiri dola inachimbwa chini?
Siku hata unataka kusema nini?NOP, inatokana na mauzo ya nje kwa nchi ambazo hatuna ubia wa biashara wa moja kwa moja, mfano mtu akija mbuga za wanyama, tukiuza dhahabu ama mazao, serikali will just credit you in tsh lakini hio dola wataitafuta binafsi
Uhalisia wako huo tambua ni ujinga wako peke yako usilete kwa wenginehuondo uhalisia wa mambo, mambo ya sjui kodi zetu ni pumba
Hiyo reserve ya BOT inakuwa wameiokota?wanatumia tu reserve ya dola benki kuu, izo profojo za kodi ni agenda za wapinzani kuwapumbaza watu
Wewe unapaswa usaidiwe akili.kodi tunazolipa ni kwa ajili ya manunuzi ya ndan na kulipa mishahara
Akiba za lazima ambazo zinaingia ndani ya bank kuu kama reserves.unamaanisha nn unaposema required reserves
ukituliza akili na kuelewa nachokuelezea utaelewa point moja nzito sana, na pia topic ya exchange rate ni muhimu sana kwako ili uelewe uhalisia mzima: ebu anza apa TSH/KSH: Somo fupi exchange rates znapatikana wap na nani anaamua ziwe ngapi kwa ngapiSiku hata unataka kusema nini?
Dola inapatikana kwa uzalishaji wa watu na huduma.
Hizo methodologies ni mbwbwe tu.
Serikali inadhulumu watu mazao kama Pamba, mkonge, korosho lwasababu inatafuta dollar reserves.
Halafu unasema wananchi hawahusiki. Una akili wewe??
Unaelewa unachojibu?Hakuna conversion yoyote inafanyika, hio rate unayoonaga ya dola 1 ni sawa na 2400 ama 2500 inaitwa FLOATING EXCHANGE RATE maaana yake imetengenezwa manually, kazi yake ni kudiscourage ama encourage matumizi ya dola ndan ya nchi, ukitoka nje ya mipaka ya tanzania hakuna sehem ingine wanakubali Tsh, kwa lugha nyepesi Tsh ni pesa kwa ajili ya matumizi ya ndan hivo basi aata serikali ikukusanya trillion 100 za tsh kama benki kuu haina dola hakuna namna nchi inaweza kuendesheka
😅😅Hiyo reserve ya BOT inakuwa wameiokota?
Nimegundua nimepoteza muda kumjibu huyo dogo si mzima kichwaniHiyo reserve ya BOT inakuwa wameiokota?
swali zuri, kama utakua unaskiliza hotuba mbali mbali za president hua lazima ataje kwamba mpaka sasa nchi yetu ni akiba ya pesa za kigeni kiasi flan na lazima atoe makadirio znatosha kuhudumu nchi kwa mda gan, kuna kiwango ambacho kimewekwa na IMF kwamba lazima kiweze kuhudumia nchi kwa miezi zaidi ya 4, ushawahi kuskia hotuba kama hio?Akiba za lazima ambazo zinaingia ndani ya bank kuu kama reserves.