Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 5,082
- 8,368
Wewe mjinga mjinga huna cha kuniambia mimi, watu km wewe ndio mtaji wao mzuri sababu kichwani sifuri hamjui kituwewe kazi yako ni kutakana mengine achia wenye akili timamu, kwahio endelea kutukana
Wewe mjinga mjinga huna cha kuniambia mimi, watu km wewe ndio mtaji wao mzuri sababu kichwani sifuri hamjui kituwewe kazi yako ni kutakana mengine achia wenye akili timamu, kwahio endelea kutukana
Hizo pesa zinatoka wapi?hatujakataa ile nmesema KODI TUNAOLIPA sjasema reserve
hizo mikopo utalipa kwa dola hakuna mkopo unalipwa kwa tshHizo mikopo baadae unazilipa kwa kutumia nini??
Manunuzi ya nje ya nchi ya Serikali ya Tanzania* kwa kawaida hulipiwa kwa kutumia fedha za kigeni (foreign currency), mara nyingi dola za Marekani (USD), euro (EUR) au sarafu nyingine kulingana na mkataba na muuzaji.
Chanzo cha fedha hizo kinaweza kuwa:
1. Fedha za bajeti ya Serikali kupitia Hazina (Ministry of Finance).
2. Mikopo ya nje kutoka taasisi kama World Bank, IMF, AfDB au nchi wahisani.
3. Misaada ya maendeleo (Donor Funds).
4. Mapato ya ndani ya serikali, yaliyobadilishwa kuwa fedha za kigeni kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
BoT ndio yenye jukumu la kuhakikisha upatikanaji wa fedha za kigeni kwa manunuzi hayo kupitia akaunti maalum za serikali (treasury single account - TSA).
Hujanijibu swali langu. Rais wako Samia anaposema hizi ndege tumenunua kwa Kodi zetu Huwa anamaanisha nini?😂 unakosa elimu hivo utaendelea kuyumbishwa kila sku
Ndio zipo Benki kuu.zimetoka wapi?zipo benki kuu
Upo serious au unafanya comedy? Huo mkopo ambao serikali inakopa huwa serikali wanalipa kwa pesa zinazotoka wapi? Ichukue mkopo au itumie pesa yake, zote zinatokana na Kodi.miradi kama hio haitegemei kodi bali unakopa kutoka washirika wa nje wakupe hicho kiwango unataka:
unaweza kupitia kidogo hili somo utanielewa nachotaka kupoint:
Tuseme ni 0.95% tu ya watu duniani hua wanaelewa exchange rates znapatikana vp, hizi rates ndo znatumika na wale vijana wa mT5 pia kufanya biashara lakini mpaka leo hawajui hizi rates zinatokana na nini! katika maelezo haya tutatumia KSH/TSH kama mfano
Exchange rates ni nini:
ni Bei ya makubaliano inaotumika kwa nchi husika ama taasisi kufanya biashara na nchi ingine, kwa mfano unaweza kuskia TSH/KSH NI 19:1 maaana yake kwa kila Tsh 19 iliopo tanzania basi utapewa Ksh 1, unaweza kuichukulia kama unfair ila kuna sababu kubwa kwanini hizi rates zipo
Exchange rates znatoka wap:
- stakehigh
- exchange fupi nani somo
- Replies: 16
- Forum: Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
Nyinyi ndio mnawaongezea watu hasira za kuandamana, pumbavuNOP, utalipa kwa dola
We jamaa unatumia kilevi gani hapo?kodi tunazolipa ni kwa ajili ya manunuzi ya ndan na kulipa mishahara
Nimekuita kenge siyo kama nimekutukana ila nimemaanisha kuwa huna akili.ukiona unakimbilia matusi maana yake huna hoja, unaona kokote nmetukana?
nimenyoosha mikono juu"......! your very deep but in shallow water.hizo mikopo utalipa kwa dola hakuna mkopo unalipwa kwa tsh
We jamaa hivi upo mzima?NOP, utalipa kwa dola
hio pesa ipo, the same way hata wewe ukitaka kununua gari nje ya nchi ukatoa tsh, serikali itafidia transaction yako na anaekuuzia gari nje ya nchi atapokea dola zakeWe jamaa unatumia kilevi gani hapo?
Serikali ikinunua magari nje au ndege hiyp pesa serikali inaitoa wapi?