Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

Kodi za wananchi ndizo chanzo kikuu cha mapato ya serikali, Kodi hukusanywa kwa fedha zetu (TZS). Serikali ikihitaji kununua nje, inabadilisha fedha zetu kuwa dola kupitia BoT au benki za biashara.

Unavyosema kodi zetu hazihusiki kusingekuwa na umuhimu wa kukusanya Kodi.
hakuna conversion yoyote inafanyika, rate unayoiona ya dola to tsh ni kwa ajili ya wananchi wa kawaida, haina uhusiano wowote na uchumi ni rate za kisiasa either ku encourage ama kudiscourage matumizi ya hio pesa, zipo nchi nyingi za hovyo na zna rate nzuri dola
 
sahihi kabisa however hata usingelipa hio kodi bado hio reserve ipogo tu, serikali haiihitaji tsh ili kubadilisha pesa, na benki za biashara hazifanyia manunuzi yoyote ya serikali na rate ya hio conversion inatoka serikalini
Ni kweli dola hutolewa na BoT kwa government procurement, na rate ya conversion ni ya serikali hilo sijakataa.

Lakini si kweli kwamba kodi haina mchango wowote kwa sababu Bila kodi, hakuna hela zitakazoingia kwenye reserves.

Manunuzi ya serikali nje ya nchi yanatumia kodi zetu kwa njia isiyo ya moja kwa moja, kodi inakusanywa inabadilishwa kuwa dola kupitia BoT, dola zinatumika kufanya manunuzi wa nje.
 
hakuna conversion yoyote inafanyika, rate unayoiona ya dola to tsh ni kwa ajili ya wananchi wa kawaida, haina uhusiano wowote na uchumi ni rate za kisiasa either ku encourage ama kudiscourage matumizi ya hio pesa, zipo nchi nyingi za hovyo na zna rate nzuri dola
Huna akili nyinyi ndio mtaji wao wa kununulia zile Ferrari na RR
 
Ni kweli dola hutolewa na BoT kwa government procurement, na rate ya conversion ni ya serikali hilo sijakataa.

Lakini si kweli kwamba kodi haina mchango wowote kwa sababu Bila kodi, hakuna hela zitakazoingia kwenye reserves.

Manunuzi ya serikali nje ya nchi yanatumia kodi zetu kwa njia isiyo ya moja kwa moja, kodi inakusanywa inabadilishwa kuwa dola kupitia BoT, dola zinatumika kufanya manunuzi wa nje.
kodi tunazolipa ni kwa ajili ya manunuzi ya ndan na kulipa mishahara
 
hakuna conversion yoyote inafanyika, rate unayoiona ya dola to tsh ni kwa ajili ya wananchi wa kawaida, haina uhusiano wowote na uchumi ni rate za kisiasa either ku encourage ama kudiscourage matumizi ya hio pesa, zipo nchi nyingi za hovyo na zna rate nzuri dola
Tatizo huko shuleni sijui mnasoma nini? Tafuta form five yoyote anayesoma EGM akufundishe topic ya demand and supply. Nenda Kasome vipengele vya encourage/discourage imports.
 
Back
Top Bottom