Kwahiyo hiyo reserve imejipeleka yenyewe hapo Benki kuu?wanatumia tu reserve ya dola benki kuu, izo profojo za kodi ni agenda za wapinzani kuwapumbaza watu
Huko shuleni mlisomea ujinga? Okay nijibu maswali yangu:kodi tunazolipa ni kwa ajili ya manunuzi ya ndan na kulipa mishahara.
Hizo reserve zinajaa vipi na mpaka Serikali ambayo pato lake kubwa ni Kodi linafanya nini hadi hizo reserve zinazopatikana / zilizopatikana zinakuwa zake ?wanatumia tu reserve ya dola benki kuu, izo profojo za kodi ni agenda za wapinzani kuwapumbaza watu
hata kipindi hiki cha elimu bure umeshindwakuhudhuria skul??..Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
swali zuri, reserves znatokana na mauzo ya nje, serikali inaweza kufanya project yoyote kubwa bila kutegemea kodi, kwa mfano inaweza kuanzisha project kama SGR ambayo ata ukisema ukusanye kodi miaka 10 bado haitafika amount ya kuanzisha huo mradi, kiuhalisia kodi ni kwa ajili ya miradi ya ndan na kulipa mishaharaKwahiyo hiyo reserve imejipeleka yenyewe hapo Benki kuu?
Hiyo topic haikuletwa na wanasiasa.demand and supply ni topic za kisiasa, nlishaelezea zaidi kuhusu exchange rates unaweza pitia apa: TSH/KSH: Somo fupi exchange rates znapatikana wap na nani anaamua ziwe ngapi kwa ngapi
Sasa hapo kinachokufanya ukatae kuwa siyo Kodi za Wananchi zinazotumika ni kipi?Ni kweli dola hutolewa na BoT kwa government procurement, na rate ya conversion ni ya serikali hilo sijakataa.
Lakini si kweli kwamba kodi haina mchango wowote kwa sababu Bila kodi, hakuna hela zitakazoingia kwenye reserves.
Manunuzi ya serikali nje ya nchi yanatumia kodi zetu kwa njia isiyo ya moja kwa moja, kodi inakusanywa inabadilishwa kuwa dola kupitia BoT, dola zinatumika kufanya manunuzi wa nje.
miradi kama hio haitegemei kodi bali unakopa kutoka washirika wa nje wakupe hicho kiwango unataka:hata kipindi hiki cha elimu bure umeshindwakuhudhuria skul??..
.......kama ingekuwa ivyo unavosema serikali miradi mikubwa kama bwawa la mwalimu nyerere reli ya SGR isingeongeza chochote ktk deni la taifa tungekuwa na mmiradi makubwa daily
ni Bei ya makubaliano inaotumika kwa nchi husika ama taasisi kufanya biashara na nchi ingine, kwa mfano unaweza kuskia TSH/KSH NI 19:1 maaana yake kwa kila Tsh 19 iliopo tanzania basi utapewa Ksh 1, unaweza kuichukulia kama unfair ila kuna sababu kubwa kwanini hizi rates zipo
Hakuna unachokijua mjinga mmoja wewe pumbavy kabisaswali zuri, reserves znatokana na mauzo ya nje, serikali inaweza kufanya project yoyote kubwa bila kutegemea kodi, kwa mfano inaweza kuanzisha project kama SGR ambayo ata ukisema ukusanye kodi miaka 10 bado haitafika amount ya kuanzisha huo mradi, kiuhalisia kodi ni kwa ajili ya miradi ya ndan na kulipa mishahara
Hujui lolote mbumbumbu mzungu wa reli hayo mauzo ya nje yanatoka wapi?swali zuri, reserves znatokana na mauzo ya nje, serikali inaweza kufanya project yoyote kubwa bila kutegemea kodi, kwa mfano inaweza kuanzisha project kama SGR ambayo ata ukisema ukusanye kodi miaka 10 bado haitafika amount ya kuanzisha huo mradi, kiuhalisia kodi ni kwa ajili ya miradi ya ndan na kulipa mishahara
Huyu ni mjinga mjinga tu kakurupuka huko anakuja kuandika ujinga humuSasa hapo kinachokufanya ukatae kuwa siyo Kodi za Wananchi zinazotumika ni kipi?
i understand your concern however demand and supply hutumika kujibu maswali yote ambayo hayana majibu halisi, kwa mfano! najua unatamani kujua mfano hisa moja ya crdb mahesabu gan yanatumika mpaka price inapatikana, utapewa ilo ilo jibu demand and supplyHiyo topic haikuletwa na wanasiasa.
pitia kidogo apa ndo tutaongea lugha moja: TSH/KSH: Somo fupi exchange rates znapatikana wap na nani anaamua ziwe ngapi kwa ngapiHujui lolote mbumbumbu mzungu wa reli hayo mauzo ya nje yanatoka wapi?
Unaniuliza mimi tena? Muulize mtoa madaSasa hapo kinachokufanya ukatae kuwa siyo Kodi za Wananchi zinazotumika ni kipi?
kwa sababu hakuna matumizi yoyote ya nje ya nchi yanatumia tsh kufanya manunuzi, mfano kununua v8 itakubidi uwe na dola, sasa wananchi hawalipi kodi kwa dola, kwa lugha nyepesi serikali inategemea mauzo ya nchi kufanya uendeshaji wa nchi zaidi, likwise ukinunua gari nje ya nchi same rule applies hio ela haiendi nje ila utakatwaSasa hapo kinachokufanya ukatae kuwa siyo Kodi za Wananchi zinazotumika ni kipi?
Huko unakotaka kunipeleka ni porojo tu. Kwani Rais anaposema hizi ndege tumenunua kwa Kodi zetu huku akijua ndege imeuzwa kwa Dola kule marekani Huwa anakua hajui? Kwenda mjinga mmoja wewe.usitupotezee muda hapa.pitia kidogo apa ndo tutaongea lugha moja: TSH/KSH: Somo fupi exchange rates znapatikana wap na nani anaamua ziwe ngapi kwa ngapi
Hizo mikopo baadae unazilipa kwa kutumia nini??miradi kama hio haitegemei kodi bali unakopa kutoka washirika wa nje wakupe hicho kiwango unataka:
unaweza kupitia kidogo hili somo utanielewa nachotaka kupoint:
Tuseme ni 0.95% tu ya watu duniani hua wanaelewa exchange rates znapatikana vp, hizi rates ndo znatumika na wale vijana wa mT5 pia kufanya biashara lakini mpaka leo hawajui hizi rates zinatokana na nini! katika maelezo haya tutatumia KSH/TSH kama mfano
Exchange rates ni nini:
ni Bei ya makubaliano inaotumika kwa nchi husika ama taasisi kufanya biashara na nchi ingine, kwa mfano unaweza kuskia TSH/KSH NI 19:1 maaana yake kwa kila Tsh 19 iliopo tanzania basi utapewa Ksh 1, unaweza kuichukulia kama unfair ila kuna sababu kubwa kwanini hizi rates zipo
Exchange rates znatoka wap:
- stakehigh
- exchange fupi nani somo
- Replies: 16
- Forum: Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
😂 unakosa elimu hivo utaendelea kuyumbishwa kila skuHuko unakotaka kunipeleka ni porojo tu. Kwani Rais anaposema hizi ndege tumenunua kwa Kodi zetu huku akijua ndege imeuzwa kwa Dola kule marekani Huwa anakua hajui? Kwenda mjinga mmoja wewe.usitupotezee muda hapa.