Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

Sahihi, hizo fedha za kigeni zinatoka wapi? Na kwa dhamana ipi
Mkuu ni makubaliano TU ya thamani ya currencies baina ya Nchi na nchi. Kuna kipindi serikali ya Obama iliilazimisha serikali ya China kupandisha thamani ya Yuan . Ni kweli china ilishusha thamani ya Yuan, coz yy anauza bidhaa nyingi nje kiliko nchi yoyote ile Duniani, hii ilipekea china kuwa na akiba kubwa ya USD kuliko Nchi yoyote ile ukiondoa USA, ss unaona jinsi wenzetu walivyo active kwenye mipango ya uchumi wao.

Mfano , tz tunauza madini mbalimabli, watalii bidhaa za vyakula nje ,kwa kuuza/kubadilisha kwa pesa za kigeni Sisi tunapata fedha hizo kununulia bidhaa zingine kama za afya,madawa,mbolea etc.

Yani nilazima uwe na bidhaa ya kubadilishana na Nchi nyingine ili upate fedha za kigeni.

Ss kasheshe pale Nchi inapokuwa na mahitaji makubwa ya nje kuliko ndani.

Ukimiliki pesa ya shilling yaTZ,haina thamani thamani nzuri coz, nchi hii uwezo wake wa kujitegemea ni mdogo,

Nchi kama USA EU UK Japan currencies zao zinatumika coz wao ni wazalishaji wa commodities
Na ndio maana Germany ililazimishwa kuachana na his currency na kutumia EU, wakijua kuwa Germany uwezo wake ni mkubwa wa uzalishaji bidhaa, hence EU itapanda thamani Duniani.

Tz haiwezi kubadilisha pesa zake za ndani ili ipate foreign currency, ni nchi gani itazipokea pesa hizo ?, na kama itazipokea hizo pesa italazimika kutumia na TZ pekee, kitu ambacho sio quality of money.

Na ndio maana TZ shilling inaitwa madafu coz, ni kwa ajili ya matumizi ya ndani ya nchi TU, nje ya hapo ni useless
 
Umekubali kuwa ,hata kama matumizi ya serikali ya hayo ma v8 ,hata kama hayatoki moja kwa moja kwenye kodi ya mwananchi , wananchi wana athirika na matumizi mabovu ya hizo pesa?

Ikiwa baba atakopa kwa dhamana ya familia halafu hiyo pesa akalewa ,je unafahamu familia kisheria wanayo haki ya kufungua mashtaka?
 
Ni kweli ,swali langu hizo pesa za nnje wanazopewa Tz zikitumika vibaya iweje zimwathiri mwananchi wa kawaida?
 
EXACTLY!!!! hii ndo main point nlitaka watu waelewe lakini nmeona ubishi umekua mkubwa, kiuhalisia mtu aliepo EU anaweza kwenda na pesa yake marekani na akanunua kitu, maaana yake mtu wa EU akilipa kodi pesa hio inaweza kwenda moja kwa moja nje kununua kitu, SAFI SNA
 
Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
Alafu na Wewe Uko hapa JF futeni huu uzi hauna kiwango ungepeleka fecebook
 
Dah me nkajua mpo pamoja Lumumba ndo mmekuja na hii....Au wewe Leo you are working from home?
Hili jambo halina chama. Kusapoti upuuzi kisa umesemwa na mwanaCCM ni kwenda kinyume na ahadi za mwanaCCM za kuwa mkweli na kutumia elimu kwa manufaa ya wote.
 
EXACTLY!!!! hii ndo main point nlitaka watu waelewe lakini nmeona ubishi umekua mkubwa, kiuhalisia mtu aliepo EU anaweza kwenda na pesa yake marekani na akanunua kitu, maaana yake mtu wa EU akilipa kodi pesa hio inaweza kwenda moja kwa moja nje kununua kitu, SAFI SNA
Tumekuelewa vizuri kabisa , lengo lako lilikua ni kuonyesha matumizi ya ma 8 na anasa nyingine wananchi hawahusiki kabisa na kulipa kwao kodi, na ubishi wetu umeanzia hapo.
 
Umekubali kuwa ,hata kama matumizi ya serikali ya hayo ma v8 ,hata kama hayatoki moja kwa moja kwenye kodi ya mwananchi , wananchi wana athirika na matumizi mabovu ya hizo pesa?

Ikiwa baba atakopa kwa dhamana ya familia halafu hiyo pesa akalewa ,je unafahamu familia kisheria wanayo haki ya kufungua mashtaka?
hakuna pesa yoyote mwananchi anatoa kutoka ndan ina msaada kwenye matumizi ya nje, ata kama ukichimba madini pesa unayopata sio kutokana na mauzo ya nje bali hutokana na thamani iliofanyika kutoka benki kuu, kwa mfano ukichimba dhahabu utalipia kutokana na rate ya BOT sio rate ya mauzo ya nje
 
Na hizo fedha zinazotolewa zitalipwa na vyanzo vipi vya mapato kama mdhamini mkuu wa hiyo mikopo?
Tutalipa kwa kutumia foreign currency, tukikosa USD, inabidi tuwape rasilimali za nchi kama mbadala
 
hakuna pesa yoyote mwananchi anatoa kutoka ndan ina msaada kwenye matumizi ya nje, ata kama ukichimba madini pesa unayopata sio kutokana na mauzo ya nje bali hutokana na thamani iliofanyika kutoka benki kuu, kwa mfano ukichimba dhahabu utalipia kutokana na rate ya BOT sio rate ya mauzo ya nje
Pesa inayo msaada japo sio msaada wa moja kwa moja , hivyo unakosea sana kusema haina msaada.
 
Hili jambo halina chama. Kusapoti upuuzi kisa umesemwa na mwanaCCM ni kwenda kinyume na ahadi za mwanaCCM za kuwa mkweli na kutumia elimu kwa manufaa ya wote.
huezi jua labda yawezekana umepotea na hujui
 
Ni kweli ,swali langu hizo pesa za nnje wanazopewa Tz zikitumika vibaya iweje zimwathiri mwananchi wa kawaida?
Zina waathiri wananchi coz , hazitumiki kwa ajili ya kutoa huduma za jamii kama ilivyo kusudiwa. Mfano afya,madawa, vifaa vya viwandani na ujenzi etc.

Bali hutumika kwenye ufisadi , Sasa watoto wa viongozi wanaonunua Bugatti Chiron, rolly Royce phantom, unafikiri wanazinunua kwa pesa ya TZ shilling? , ni USD ndio zinatumika kufanya malipo.
 
Kwahiyo wananchi hawapaswi kusema kodi zao zinatumiwa vibaya?
 
Back
Top Bottom