Kiuhalisia manunuzi yote ya serikali nje ya nchi hayatumii hata senti moja ya kodi zetu

forex sio biashara na haijawahi kua biashara, forex ni kitendo cha kubadilishana FOR-EX (Foreign exchange)
2) Hakuna bank inafanya forex kama biashara. benki inafanya exchange sio trading
3) hakuna soko la forex na hakuna sehem wanapokea buyers and sellers, forex ni kitendo sio soko na hakuna anaeruhusiwa kufanya forex trading on behalf of the central bank, wengine wote wanafanya exchange na wanatumia rate iliowekwa na benki kuu
4) central bank doesnt stabilize the currency, central bank creates policies to favour a currency for example 1$ = 2500 tsh, hii ni policy na haina uhusiano wowote na transactions zozote zilizofanyika, hivo basi ni kitu cha kawaida kukuta nchi yenye uchumi wa hovyo na ina sarafu yenu ukwasi mkubwa mfano mzuri ni japan na kenya ama mozambique na tanzania ama rwanda na tanzania
5) Usiwe confident kwa kitu ambacho umekiskia in theory, kama hujaambiwa na mtu alie kwenye mitambo ama umeshapitia kwenye mitambo we chil other wise watakaokuona unajua ni wenzako ambao nao waliskiliza theory
Nilitaka nikuache, ila kwa vile nimegundua wewe ni mwanafunzi ngoja nikupe notice usome zaidi za real life nasiyo za kufikirika darasani. Biashara ya Forex hadi sasa :

The foreign exchange (forex or FX) market is the global marketplace where currencies are bought and sold. It’s the largest and most liquid financial market in the world, with daily trading volume exceeding US $7 trillion.

1. Key Features​

  • Decentralized & 24 hours: Forex is an over-the-counter (OTC) market—no single physical exchange.
  • Trading sessions follow major financial centers:
    • Sydney: roughly 10 PM–7 AM UTC
    • Tokyo: roughly 12 AM–9 AM UTC
    • London: roughly 7 AM–4 PM UTC
    • New York: roughly 12 PM–9 PM UTC
      These overlap so trading runs continuously from Monday morning in Asia to Friday evening in New York

2. Main Participants​

  • Banks & financial institutions (largest players)
  • Central banks (monetary policy, reserves management)
  • Corporations (hedging currency risk)
  • Hedge funds & investment managers
  • Retail traders (via brokers and trading platforms)

3. Trading Basics​

  • Spot market: immediate exchange of currencies at current price.
  • Forwards & futures: contracts to buy/sell at a set date and price.
  • Leverage: brokers often offer leverage, meaning you can control larger positions with smaller capital—this increases both potential gains and risk.

4. Factors Driving Currency Prices​

  • Interest rate differentials and central-bank policies
  • Economic data: inflation, employment, GDP growth
  • Political and geopolitical events
  • Market sentiment & risk appetite
 
  • Trading sessionsfollow major financial centers:

Nimecheka dah…..! Ila huyo jamaa hajui kitu halafu ni mbishi kinoma, unaweza ukaamua kuachana naye abaki na ujinga wake then all of sudden aka-post kituko ukajikuta umerudi tena. Some people are born like that, unaweza kudhani kamezeshwa hirizi ya ubishi.
Some dudes it’s their way of learning, tusimlaumu sana.
 
Ni kweli kabisa mkuu, jamaa hajui kitu ila anabisha na tunaamini anabisha ili ajifunze. Maana haelewi kabisa basics ya inavyofanya kazi na ndiyo maana hawezi kuoanisha kodi na manunuzi. Sababu yuko hard coded na definition za darasani. Wewe endelea naye taratibu kumpa somo ataelewa tu.
 
We nd
wanatumia tu reserve ya dola benki kuu, izo profojo za kodi ni agenda za wapinzani kuwapumbaza watu
o unaleta porojo, hyo reserve ya $ inatoka wapi...?
Ok mfano wanauza dhahabu, hyo dhahabu inatoka wapi kama sio kununuliwa na kodi za wananchi...?
 
Kodi za wananchi ndizo chanzo kikuu cha mapato ya serikali, Kodi hukusanywa kwa fedha zetu (TZS). Serikali ikihitaji kununua nje, inabadilisha fedha zetu kuwa dola kupitia BoT au benki za biashara.

Unavyosema kodi zetu hazihusiki kusingekuwa na umuhimu wa kukusanya Kodi.
Ukishakuwa mwanaSISIEMU, unabaki na akili ya kutofautisha chakula na mavi na za kuvukia barabara. Hawa jamaa ni takataka sana.
Imagine mtu hajui hata source ya mapato ya serikali.🙆‍♂️
 
Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
sasa hii pimbi mlevi inajaribu kumdanganya nani?
 
Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
Hilo waambie wajinga wenzio!
 
Nilitaka nikuache, ila kwa vile nimegundua wewe ni mwanafunzi ngoja nikupe notice usome zaidi za real life nasiyo za kufikirika darasani. Biashara ya Forex hadi sasa :

The foreign exchange (forex or FX) market is the global marketplace where currencies are bought and sold. It’s the largest and most liquid financial market in the world, with daily trading volume exceeding US $7 trillion.

1. Key Features​

  • Decentralized & 24 hours: Forex is an over-the-counter (OTC) market—no single physical exchange.
  • Trading sessionsfollow major financial centers:
    • Sydney: roughly 10 PM–7 AM UTC
    • Tokyo: roughly 12 AM–9 AM UTC
    • London: roughly 7 AM–4 PM UTC
    • New York: roughly 12 PM–9 PM UTC
      These overlap so trading runs continuously from Monday morning in Asia to Friday evening in New York

2. Main Participants​

  • Banks & financial institutions (largest players)
  • Central banks (monetary policy, reserves management)
  • Corporations (hedging currency risk)
  • Hedge funds & investment managers
  • Retail traders (via brokers and trading platforms)

3. Trading Basics​

  • Spot market: immediate exchange of currencies at current price.
  • Forwards & futures: contracts to buy/sell at a set date and price.
  • Leverage: brokers often offer leverage, meaning you can control larger positions with smaller capital—this increases both potential gains and risk.

4. Factors Driving Currency Prices​

  • Interest rate differentials and central-bank policies
  • Economic data: inflation, employment, GDP growth
  • Political and geopolitical events
  • Market sentiment & risk appetite
ongeza bidii: uko mbali sana
1758824988206.png

1758825013649.png
 
Ukishakuwa mwanaSISIEMU, unabaki na akili ya kutofautisha chakula na mavi na za kuvukia barabara. Hawa jamaa ni takataka sana.
Imagine mtu hajui hata source ya mapato ya serikali.🙆‍♂️
angalia labda wewe ndo uko offside huezi jua
 
We nd

o unaleta porojo, hyo reserve ya $ inatoka wapi...?
Ok mfano wanauza dhahabu, hyo dhahabu inatoka wapi kama sio kununuliwa na kodi za wananchi...?
ushawahai jiuliza IMF na WORLD BANK wanatoa wap pesa za kukopesha nchi zote duniani?
 
Ni kweli kabisa mkuu, jamaa hajui kitu ila anabisha na tunaamini anabisha ili ajifunze. Maana haelewi kabisa basics ya inavyofanya kazi na ndiyo maana hawezi kuoanisha kodi na manunuzi. Sababu yuko hard coded na definition za darasani. Wewe endelea naye taratibu kumpa somo ataelewa tu.
unaweza shangaa labda ulichokua unadhan unajua baada ya mda mrefu sana kumbe ulikua umepotea!
 
Nimecheka dah…..! Ila huyo jamaa hajui kitu halafu ni mbishi kinoma, unaweza ukaamua kuachana naye abaki na ujinga wake then all of sudden aka-post kituko ukajikuta umerudi tena. Some people are born like that, unaweza kudhani kamezeshwa hirizi ya ubishi.
Some dudes it’s their way of learning, tusimlaumu sana.
maybe
 
Tuseme serikali inataka kununua v8 500, malipo yote yatafanyika kwa dola na sio tsh, na ili kuipata hio dola ni lazima uuze nje hakuna sehem ingine duniani unaweza kubadilisha tsh na dola zaidi ya nchini tu
Serikali ina kitu gani cha kuuza nje?
 
Back
Top Bottom