Haki ni haki na mpango wa Mungu hauzuiliwi! Waliojaribu kuuzuia aliwaua! Mifano ni mingi eg. JPM 2021 MarchMkuu natamani sana Hizi Sala Mwenyezi Mungu azisikilize atuokoe sisi wana wake
Onyo!! Tundu Lissu ni mpango wa Mungu! Ayakayejaribu kumzuia atayapata ya March 2021 JPMAnashinda mapema sana. Hao upinzani wabongo wachumia tumbo tu. Wapo ili wapewe hela, hawana utofauti na bongo movie waliopelekwa Korea. Hadi leo hawana agenda ya maana zaidi kudandia matukio. CCM kwenye uchaguz ni wamoja, ila hao majungu tu na kuzungukana
Chawa wamebandika picha za Mama kwenye mabango nchi nzima utafikiri Mama wa watu kapotea anatafutwa!!Habari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu kwa wananchi waliowengi.
Najua wapo wapambe ambao wataukataa huu ukweli kwa manufaa wanayoyajua wao wenyewe. Lakiñi huku mtaani ni dhahiri kuwa Nyota ya Mama bado ipo chini. Hakubaliki.
NI vile upinzani nao upo legelege, haueleweki lakini acha tuone mpaka mwakani huenda mambo yakabadilika.
Akitokea mpinzani mzuri hasa anayetokea Bara nina hakika Samia atakuwa kwenye wakati mgumu kutetea kiti chake kwa njia halali.
Sijui kwa upande wa figisufigisu.
Kingine, Rais Samia kwenye kuongea hasa wakati wa kampeni sina hakika atazungumza kwa namna ipi ili kushawishi wananchi.
Maana uoñgeaji wake haupo kwa namna ya kushawishi. Anawéza akawa anaelezea vizuri lakini sio kueleza katika kiwango cha kumshawishi mtu kitu ambacho kwenye siasa ni kikubwa.
Binafsi nasubiri kwa hamu panapo majaliwa nione hizo kampeni.
Acha nipumzike sasa
Chawa wamebandika picha za Mama kwenye mabango nchi nzima utafikiri Mama wa watu kapotea anatafutwa!!
Sema CHADEMA wanajifanya kupinga ila 2020 JPM alishinda kabisa licha ya mapungufu ya hapa na pale!Sina uzoefu na awamu ya kwanza ya Mkapa, ya pili kidogo ila nina hakika kwa asilimia zifuatazo
Kikwete awamu ya kwanza alishinda kihalali, na Magufuli awamu ya Pili alishinda kihalali kabisa
Twende mbele turudi nyuma
Wengi walimpigia Magufuli sababu ya kazi aliyoifanya ijapokuwa mwaka 2015 hawakuwa wengi kivile ila baada ya kazi yake 2020 watu walifanya kweli
(Hii nina shuhuda kabisa kwenye eneo ambalo lilisifika kuwa ngome ya upinzani, nikaomba usimamizi wa kituo na nikayashuhudia yaliyo ndani ya boxsi la kura, na sio eneo langu tu hata kwa wenzangu)
Makonda mara mia kuliko kuwapa hao Team Kikwete!Makonda kwako ndiyo anafaa kuwa rais ?
Hivi hii nchi mnaichukuliaje ?
Mwambukusi ni mtu sahihi sana basi tu! CHADEMA wangemjenga akagombea ingependeza sana!Huyo mtu mahiri wa kuwekwa na upinzani sasa kumpata ndiyo kizaazaa!
Mwabukusi ni sahihi kuliko Lissu, Mbowe na John Heche ?Mwambukusi ni mtu sahihi sana basi tu! CHADEMA wangemjenga akagombea ingependeza sana!
Mnapenda kuongozwa na majambazi ?Makonda mara mia kuliko kuwapa hao Team Kikwete!
Alishindaje bila kura kuhesabiwa ?Sema CHADEMA wanajifanya kupinga ila 2020 JPM alishinda kabisa licha ya mapungufu ya hapa na pale!
Mwambukusi agombee! Lisu,Lema,Mbowe waingie bungeni! Najua kushinda no ngumi ila nadhani watapata wabunge wengi!Mwabukusi ni sahihi kuliko Lissu, Mbowe na John Heche ?
Kwahiyo wafanye majaribio ya mgombea urais?Mwambukusi agombee! Lisu,Lema,Mbowe waingie bungeni! Najua kushinda no ngumi ila nadhani watapata wabunge wengi!
Kwani Magu alishinda?Habari za usiku wakuu!