Kiukweli Manula alistahili kuagwa kwa heshima, Si kama hivi alivyofanyiwa

Kiukweli Manula alistahili kuagwa kwa heshima, Si kama hivi alivyofanyiwa

Hizi ndio timu za Bongo, leo mtu anathubutu kabisa kusema Manula kaibeba kuipeleka wapi. Ushabiki wa aina hii ni ushabiki wa kizamani na kishamba.
Eti alikua anaibeba simba [emoji23]..simba jitu kubwa vile unaibebaje..mbowe kashindwa kuibeba chadema , sembuse manula
 
Umelisoma bango la meneja wake?Umelielewa?

Sasa anaipambania vip namba wakati hayupo kwenye kikosi chenu rasmi cha 23/24? au hujamsikia msemaji wenu......?
Nadhani ni football politics tu, Manula hayuko kwenye kikosi sababu tangu aumie sana hajawa fit, akiwa fit atacheza.
 
Huyu Mchezaji ameibeba sana Simba, alipaswa kuthaminiwa na kuagwa kwa heshima.

Ameachwa kikatili sana! Hakika wahenga walisema, Tenda Wema Nenda zako.
Yaani kaanza Kutuumiza Simba SC tokea mwaka Juzi na zaidi mwaka jana katika zile 5 -1 halafu leo Aagwe kwa Heshima?
 
Nadhani ni football politics tu, Manula hayuko kwenye kikosi sababu tangu aumie sana hajawa fit, akiwa fit atacheza.
Umemsoma meneja wake? Hapo hamna kufikiri wala politics kwani meneja kamaanisha huku msemaji wenu akisisitiza.
 
Umemsoma meneja wake? Hapo hamna kufikiri wala politics kwani meneja kamaanisha huku msemaji wenu akisisitiza.
Meneja na msemaji hawa ni watu wa marketing. Marketing lazima ufanye politics.
 
Meneja na msemaji hawa ni watu wa marketing. Marketing lazima ufanye politics.
Msemaji kazi yake kupokea vile vinavyo toka kamati tendaji ya timu.Meneja ndiye anayejua mkataba wa mchezaji husika na maslahi yake. Hamna politics hapo hivyo ni vyanzo vya uhakika vya habari.
 
Hizi timu za kariakoo zimejaa majungu, toka ligi inaanza timu ilikuwa na madhaifu makubwa Ila mashabiki walilalamika viongozi wanajibu tunachojali ushindi.
Siku wamefungwa wanaanza kutafuta wa kuwaangushia jumba bovu.
Waliostahili kuondoka ni viongozi kwanza.
 
Lakini hata Chadema ilipaswa kumuaga Msigwa kwa heshima. Kaibeba sana.
 
Ukatili aliyotufanyia sisi ni mbaya zaid kuliko simba tulivyomfanyia, ameumiza watu zaid ya milion 30, kwa kufungua duka simba, aetende zake huko
 
Back
Top Bottom