Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti alikua anaibeba simba [emoji23]..simba jitu kubwa vile unaibebaje..mbowe kashindwa kuibeba chadema , sembuse manulaHizi ndio timu za Bongo, leo mtu anathubutu kabisa kusema Manula kaibeba kuipeleka wapi. Ushabiki wa aina hii ni ushabiki wa kizamani na kishamba.
🤣🤣🤣🤣Mkuu jitahidi sana kujikita kwenye mada, Leo si siku nzuri sana, sina uvumilivu hata chembe
Nadhani ni football politics tu, Manula hayuko kwenye kikosi sababu tangu aumie sana hajawa fit, akiwa fit atacheza.Umelisoma bango la meneja wake?Umelielewa?
Sasa anaipambania vip namba wakati hayupo kwenye kikosi chenu rasmi cha 23/24? au hujamsikia msemaji wenu......?
Yaani kaanza Kutuumiza Simba SC tokea mwaka Juzi na zaidi mwaka jana katika zile 5 -1 halafu leo Aagwe kwa Heshima?Huyu Mchezaji ameibeba sana Simba, alipaswa kuthaminiwa na kuagwa kwa heshima.
Ameachwa kikatili sana! Hakika wahenga walisema, Tenda Wema Nenda zako.
Umemsoma meneja wake? Hapo hamna kufikiri wala politics kwani meneja kamaanisha huku msemaji wenu akisisitiza.Nadhani ni football politics tu, Manula hayuko kwenye kikosi sababu tangu aumie sana hajawa fit, akiwa fit atacheza.
Meneja na msemaji hawa ni watu wa marketing. Marketing lazima ufanye politics.Umemsoma meneja wake? Hapo hamna kufikiri wala politics kwani meneja kamaanisha huku msemaji wenu akisisitiza.
Msemaji kazi yake kupokea vile vinavyo toka kamati tendaji ya timu.Meneja ndiye anayejua mkataba wa mchezaji husika na maslahi yake. Hamna politics hapo hivyo ni vyanzo vya uhakika vya habari.Meneja na msemaji hawa ni watu wa marketing. Marketing lazima ufanye politics.
We waache wakurupuke tu! Mtu bado ni mwajiriwa wanataka aagwe. Na siku akiondoka wamfanyaje?Ametangazwa kuachwa?
Nyie utoporo mnajua ustaraabu??? Gadiel Micheal,Ajibu,hawakufanya makubwa kwenu mliwaaga Kwa heshima ??Kwani makolo wanajua maana ya ustaarabu?
Alikuwa anajitolea syoHizi ndio timu za Bongo, leo mtu anathubutu kabisa kusema Manula kaibeba kuipeleka wapi. Ushabiki wa aina hii ni ushabiki wa kizamani na kishamba.