Kiukweli Manula alistahili kuagwa kwa heshima, Si kama hivi alivyofanyiwa

Kiukweli Manula alistahili kuagwa kwa heshima, Si kama hivi alivyofanyiwa

Licha ya KABWILI kufanya makubwa ndani ya klabu yenu , mbona hamkumuaga kwa heshima kama mnavyotaka Manula aagwe?
 
Manula Bado ni mchezaji wa Simba na siku yoyote ataitumikia club yake.

Mbona akina Ally Salim wamesota sana benchi na ilionekana ni kawaida tu.

Tuheshimu maamuzi ya Kocha.
 
Huyu Mchezaji ameibeba sana Simba, alipaswa kuthaminiwa na kuagwa kwa heshima.

Ameachwa kikatili sana! Hakika wahenga walisema, Tenda Wema Nenda zako.
Mpaka Sasa imethibitishwa kiwango cha ujinga walichonacho viongozi.
 
Hata hivyo sio sababu ya kumkataa kihuni hivyo
Aishi ni kipa wa Timu ya Taifa Tff, BMT , Wizara wanatakiwa waingilie kati uu uhuni anao fanyiwa Aishi Manura kabla Dirisha halijafungwa.

Kuna mpuuzi mmoja ambaye ni Kiongozi wa juu pale Simba anataka ahakikishe ana mpoteza Aishi katika career yake katika soccer.

Kama alivyo pambaniwa Feisal kuokoa kipaji chake basi ifanyike kwa Aish Manura kwa Maslahi ya mpira.

Aina hii ya Kiongozi anakua kama Aliyekua Kiongozi wa FAT Muhidin Ndoranga pale alipo myima kibali Cha kucheza soka Uingereza Golikipa Mohamed Mwameja na kufanya auchukie mpira wa miguu na kukatisha ndoto zake za kucheza ulaya mchezaji aliyekua Tayari amefuzu majaribio.
 
Huyo keshatupiwa zigo la nnya kwamba ati msimu mbovu na zile 5 ni yeye kasababisha.
Chama ana bahati kapata timu chap la sivyo nae angeondoka kwa style hiyohiyo.
 
Ila madunduka mna roho mbaya sana, sasa ndio nmeamini ile kauli mbiu yenu ya ubaya ubwela mnaitendea haki.
 
Kwa nini UTO wanaumia 'Duka' kutemwa?. Ukiwa na D mbili Tu inatosha kuulewa mchezo nzima. Wamsajili wao basi ili siku moja awafanye Duka.
 
Manula alikuwa kirusi ndani ya Simba. Atimuliwe haraka sana.
 
Unaweza kumpa emotional farewell Mchungaji Msigwa? Jibu unalo mkuu
 
Back
Top Bottom