mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Licha ya KABWILI kufanya makubwa ndani ya klabu yenu , mbona hamkumuaga kwa heshima kama mnavyotaka Manula aagwe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka Sasa imethibitishwa kiwango cha ujinga walichonacho viongozi.Huyu Mchezaji ameibeba sana Simba, alipaswa kuthaminiwa na kuagwa kwa heshima.
Ameachwa kikatili sana! Hakika wahenga walisema, Tenda Wema Nenda zako.
Aishi ni kipa wa Timu ya Taifa Tff, BMT , Wizara wanatakiwa waingilie kati uu uhuni anao fanyiwa Aishi Manura kabla Dirisha halijafungwa.Hata hivyo sio sababu ya kumkataa kihuni hivyo
Tarehe 8 watamsingia nani? Mangungu au Try again?Huyo keshatupiwa zigo la nnya kwamba ati msimu mbovu na zile 5 ni yeye kasababisha.
Chama ana bahati kapata timu chap la sivyo nae angeondoka kwa style hiyohiyo.
Mumeo.Tarehe 8 watamsingia nani? Mangungu au Try again?
Watakuwa walishaandaa mabango. Kwa ue mdomo wa Manara iko siku ataropoka Tu.Kuachwa kwa Manula kumeleta kilio Jangwani.
DeboraTarehe 8 watamsingia nani? Mangungu au Try again?