Kiukweli nawashangaa wakenya, hivi wametuzidi Watanzania kwa lipi?


umeeleza vizuri nimeipenda !

one big remaining question is how Kenya can paralyse the speed ya economic growth ya TZ chini ya Bulldozer?

hivi mnajua tumeanza kupokea groups of tourists from the west? waambieni wazungu wako Kenya waje huku TZ kwa wingi kutalii because Tanzania is now Corona free zone! we have forgotten to wear masks! we breathe freely!!
 
On
On corruption, labda nikuelimishe kidogo. Kile kinafanya Kenya ionekane kua corrupt ni freedom of media which brings good publicity and exposure ya corruption for all to see. Africa hii na nchi nyingi wanahabari wakipewa uhuru na uwezo wa kufanya uchunguzi, utaona vile corruption imesambaa, nchi mingi mno zimeoza, pia hiyo Tz yako, ni vigumu wao kuwajibika kikamilifu kwa maana hawana upinzani mkubwa kwa hivyo checks and balances doesn't work well. Swali langu kwako : serikali ya Tanzania imekua ikifanya nini kutokea 1994 hadi wa leo? Bado poverty levels zenyu ziko juu, licha ya nchi kua kubwa, na rotuba na madini kibao, hamuwezi kusingizia vita, Rwanda na Angola wametoka vitani nyuma yenu lakini wamekua kwa kasi sana, ni juzi tu mmetajwa lower middle income, ila ni kwa kiwango cha chini sana, bado mko mlangoni, yani uchumi wenu ukitikiswa kidogo muna anguka LDC, kama vile Algeria walianguka kutoka middle income to lower middle income, but kwa kiwango cha juu karibu na level ya middle income, corona ikiisha na bei ya mafuta ikipanda kidogo wanarudi juu, wako mlangoni mwa middle income.
 
Kenya haiwezi kuzuiya ukuaji wa uchumi wa Tanzania, ukweli ni eti bado hamuwezi kufikia Kenya kirahisi kama mnavyo dhania, licha ya kukua kwenyu. Kenya imekita mizizi, na iko na huge and the best human resource in Eastern Africa. Uwezo wa raiya ndio chanzo cha ukuaji wa uchumi, mengine kama infrastructure ni added advantage.
 
👍👍👍👍👍👍👍👍
👍👍👍👍👍👍👍👍👍
👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍
Hapo umenena kama wazee kumi
 
Jamaa mjinga sana huyo, sijui hizo propaganda huwa wanalishwa wapi!

Very "unrealistic" propaganda.
 
Ili kutibu ugonjwa lqzima ujue unaumwa nini na ukubalieane na ugonjwa then upate tiba. Tatizo letu watanzania hutataki kukubaliana na matatizo na changamoto zetu. Tumebaki kujifananisha na majirani zetu wakati suluisho letu liko ndani ya nchi na sio nje. Ukweli Kenya wametushinda Kwa Sana Tu
*Wana export labor kubwa Sana duniani kwasababu vijana wao Wana fit kwenye international Labour market especially kwenye hospitality sector.
*Wamefanikiwa Ku export investment out of kenya on the likes of kcb, equity, jubilee insurance, mwanachi communication as part of nations group etc
*Wamefanikiwa Ku attract big investments from across the world na kuifanya kuwa hub Kwa east and central Africa
*Wamefanikiwa kutengeneza mazingira mazuri ya kibiashara na viwanda ndio maana asilimia kubwa Tanzania tuna export raw materials na Ku import finished goods from Kenya.
Sinto ingia deep level ya uchumi, middle class, infrastructure, education etc vingi vimeshaongelewa
 

Blah blah tu unapiga hapa!

Eleza kwa takwimu sio kupiga kinanda tu kama unaimba kwaya!

Sema hiyo nguvu kazi iliyoenda nje ni watu moja mbili tatu, viwanda moja mbili tatu, investment moja mbili tatu!


Na uweke takwimu zenye ithibati, sio kupiga tu porojo za paukwa pakawa!
 
Wauguzi wagoma Kenya - BBC News Swahili


ukimakiza kuisoma hiyi,sema nikupe nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…