Kiukweli Wanachadema walimtia aibu Mwenyekiti Mbowe


Aiseeh!
 
Kwa wingi ule wa Askari barabarani ilikuwa ngumu wananchi kujitokeza kwani ingekuwa kusababisha umwagaji wa damu usio wa lazima.
 
Kiukweli aibu aliyoipata Mbowe siku ya maandamano ni kubwa sana.
Siku mbili labla ya maandamano Kwenye Space ya Maria Sarungi kule mtandao wa X watu walikua wanaongea na kuweka viapo kuwa wako tayari kufa ila lazima wajitokeze kuandamana zaidi ya watu 1,800 walikua kwenye hiyo meeting ya space

Nafikiri ile hali ilimpa sana moyo Mbowe kuwa kwenye Space tu wapo watu 1000+ wanaomuunga mkono na wako tayari kuandamana alafu siku ya maandamano huoni hata mmoja akijitokeza
 
Nikweli kabisaaa 100%, swali rahisi... Polisi wa nini?!!
 
Kwani Freeman Mbowe hakufanikiwa kuongea na waandishi wa Habari na kufikisha Ujumbe?

Usiwe na thinking ya kizamani bwashee 😂😂😂😂

Siasa ni sayansi

😃😃

Kwani lengo lilikuwa kuongea na Vyombo vya Habari au kufanya maandamano?

Kwani serikali ilimzuia CHADEMA na Mwenyekiti Kutumia Vyombo vya Habari?

Kama lengo NI ujûmbe ufike, mbona kila Siku tunasoma na kusikia CHADEMA kwèñye Online TV?
 

Hiyo ni AIBU kûbwa NI vile Watu hawataki kusema UKWELI.

Wangejitokeza walau elfu Kumi tuu Kwa heshima ya Mwenyekiti Mbowe na Chama kuliko walivyokitia aibu chama
 
ndugu kumbuka lengo ilikuwa ni kupaza sauti kupinga mauaji na utekaji wa watu unaoendelea nchini. sasa ulitaka watu wakapambane na jeshi kubwa lililokuwa limejihami kwa silaha nzito namna ile? chadema walhandaa maandamano askari wakajiandaa kwa vita. je wewe unapenda damu imwagike? hapakuwa na haja ya kufanya yote hayo. alichofanya mbowe ni sahihi na ni ushujaa.. alijitokeza akakamatwa badala ya waandamanaji akashikiliwa kisha akaachiwa. kwa kawaida ni kwamba serikali imezuia maandamo kwa mabunduk nk lakiin je mioyo ya watu imerizika?
 
Kwa wingi ule wa Askari barabarani ilikuwa ngumu wananchi kujitokeza kwani ingekuwa kusababisha umwagaji wa damu usio wa lazima.

Polisi siô wajinga.

Unafikiri wangepiga piga tuu bila kutoa Ilani?
Ninakuhakikishia kama wangejitokeza wangefanya hayo maandamano ya Amani na Polisi wasingefanya kitu.

Nakuuliza, unafikiri Kule Ngorongoro hakukatazwa kuandamana?
 
Hiyo ni AIBU kûbwa NI vile Watu hawataki kusema UKWELI.

Wangejitokeza walau elfu Kumi tuu Kwa heshima ya Mwenyekiti Mbowe na Chama kuliko walivyokitia aibu chama
Nafikiri Mbowe baada ya kuona ile negative turnout ya maandamano ikiwa haina mtu hata mmoja itakua alikata tamaa huenda kwa nafsi yake hata yeye alitaka asijitokeze ila akaona itakua ni aibu mara mbili akachagua aibu moja ya kujitokeza peke yake
 
Aisee
 

Kwa hîyo unaona NI Sahihi Mwenyekiti Mbowe kutangaza maandamano alafu Siku ya tukio awe pekeake? Unaona kabisa NI Sahihi?
 
Tuko tunawaunga mkono cdm
Lakini wanahitani kufanya uchaguzi
Kupata mwenyekiti mpya na katibu mpya.
Hawa waliopo ni wazuri lakini wahitaji kupata viongozi wazuri zaidi ambao ni wahamasishaji
Kweli pamoja na mazingira magumu kisiasa yaliyopo chama kinahotaji kufanya overhauling
 
Nafikiri Mbowe baada ya kuona ile negative turnout ya maandamano ikiwa haina mtu hata mmoja itakua alikata tamaa huenda kwa nafsi yake hata yeye alitaka asijitokeze ila akaona itakua ni aibu mara mbili akachagua aibu moja ya kujitokeza peke yake

Yeah!
Yeye kaibuka Shujaa lakini Kwa aibu kûbwa.
Kuliko asingejitokeza hata Mmoja.
 

Na inatakiwa Watu weñye falsafa zisizobadilika badilika. Yàani vigeugeu
 
Kama mswahili naamini msemo “Jini likujualo halikuli likakwisha” CCM ni jini ila atleast halitaki kunimaliza sababu lina mfumo(a very stable status quo) ambayo mpaka sasa ina work kwa miaka zaidi ya 60. Right now i trust CCM just because of convenient and Security.

Dont blame me blame the system which influenced me by various method and most of Tanzanian are vulnerable to them same method.
 
Mkuu kama kweli wapinzani hawa wana hali mbaya kihivyo au kama kweli hawa wapinzani ni dhaifu kiasi hicho unacho taka kuwaaminisha watu, je ni kwa nini serikali inatumia nguvu na gharama kubwa kiasi cha kuua kuwadhibiti???

Mkuu ni kwa nini chama tawala kina haha na kukosa usingizi kiasi cha kupora kila uchaguzi kwa gharama kubwa???

Huoni kuwa kinyume cha usemacho ndio kweli??? Au wewe ndiye huoni sawa sawa???
 
Ni aibu kubwa sana kwa chama chadomo!! Wakina Erythrocyte waliingia mitini wakamwacha DJ na mtoto wake. Lakini kwenye mitandao walikuwa wanatisha ile mbaya. Sasa hivi hawaongei tena maandamano wamehamia kwa Kampuni ya Tigo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…