Kiundwe chombo huru cha kusimamia Jeshi la Polisi

Kiundwe chombo huru cha kusimamia Jeshi la Polisi

Naona waziri wa mambo ya ndani amekiri uozo ndani ya jeshi la polisi. Kwa mantiki hii ipo haja ya kuundwa kikosi kazi maalumu ili waliodhulumiwa haki zao kwa kuteswa, kuuliwa au hata kubambikiwa kesi wapate haki zao za msingi. View attachment 2118268
Ni muhimu kuunda tume maalum ya kuangalia muundo wa jeshi la Polisi, sifa za watu wanaoajiriwa kuwa polisi, na matendobya baadhi ya adkari polisi, ili tume ije na mapendekezo ya namna nchi inavyoweza kuwa na jeshi la Polisi lenye weledi na linalozingatia sheria.

Kisha polisi wote waajiriwe upya, wasiokidhi vigezo na wale ambao ni majambazi kama walivyo Kingai, Swila, Boaz, Siro, Jumanne, Goodluck, na the like, wasiajiriwe. Wao wasubiri kupelekwa mahakamani.

Kwa ujumla hili jeshi la Polisi tulilo nalo sasa ni genge la majambazi lisilostahili kuungwa mkono na mtu yeyote mwenye akili, hekima na mwenye uzalendo wa kweli kwa Taifa letu.
 
Back
Top Bottom