Kiungo mshambuliaji Augustine Okrah raia wa Ghana, atambulishwa Simba SC

Kiungo mshambuliaji Augustine Okrah raia wa Ghana, atambulishwa Simba SC

Inasemekana huyu jamaa ana tabia ya kucheza timu mbili mahasimu kwenye nchi moja anayoenda kucheza baada ya misimu 2 ataenda upande wa pili.
 
Inasemekana huyu jamaa ana tabia ya kucheza timu mbili mahasimu kwenye nchi moja anayoenda kucheza baada ya misimu 2 ataenda upande wa pili.
Akienda upande wa pili na Aziz Ki ataenda upande wa pili
 
Yani tanzania wasajili na wasemaji wa nje ya timu ni wengi kuliko waliopo ndani ya timu zenyewe.[emoji114]
 
Okrah + Phiri + Chama+ Sakho + Banda + Kyombo + Manzoki (kama amekamilisha deal)+ Kibu.

Yani mpaka hapo sioni tatizo juu ya swala la attacking kwenye team yetu msimu ujao, maana kuna depth ya kutosha.

Kanoute+Akpan+Kapama+ Mkude+Mzmiru

Sehemu pekee ambapo Simba Sc wamefanya usajili mzuri ila bado sina uhakika mpaka ligi ianze ni kiungo, ikiwa litalipa basi naiona mbali sana Simba Sc ikiwa kocha atajua namna ya kuonga kikosi nakufanya rotation vizuri.

Sioni Simba Sc ilipokosea msimu huu, tofati na msimu uliopita iliposajili mawinga watupu bila playmakers na washambuliaji wa maana.

Wana Simba Sc, stay calm.
 
Hawa wachezaji ndio level ya Simba SC.

Timu ya taifa Ghana wanamtambua, wakati Morisson hajulikani, kama issue ni nguvu bila kipaji ni kazi bure.

Kiungo ana goli 14 tena ligi ya Ghana, hii ya kwetu mfungaji bora ana magoli 17, kazi mnayo, na Phiri kule mbele......ohooo.!!
 
Huyu kapotea njia wenzake wanakwenda Ulaya yy anakwenda MAKOLO kweli wanders shall never end...
Haya haya Makolo ambayo hata kikombe cha chai hayana
Kama huyu aliyetoka Ghana kuja Tz inaonekana wonder, yule aliyetoka hukokuko ulaya ambako unatamani huyu angeenda si ndio Umk*nd kabisa?

Kwenye ile saga haukuona wonder na ukawa unapingana na wanaishangaa, ila hapa unajitia kushangaa?

Kweli mwenye akili huko utopolo ni Sunday na Jk tu.
 
Labda uyu mchezaji anaweza akainusuru Simba isishuke daraja msimu ujao ngoja tusubiri na kuona.
 
Back
Top Bottom