Kiungo mshambuliaji Augustine Okrah raia wa Ghana, atambulishwa Simba SC

Kiungo mshambuliaji Augustine Okrah raia wa Ghana, atambulishwa Simba SC

Ni fireeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mkuu andika hivi"ni fayaaaaaa[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]"
acha kutumia neno la kingereza"fire"kwenye mada za kiswahili.
 
Kama huyu aliyetoka Ghana kuja Tz inaonekana wonder, yule aliyetoka hukokuko ulaya ambako unatamani huyu angeenda si ndio Umk*nd kabisa?

Kwenye ile saga haukuona wonder na ukawa unapingana na wanaishangaa, ila hapa unajitia kushangaa?

Kweli mwenye akili huko utopolo ni Sunday na Jk tu.
Ina maana hamuelewi tofauti ya mchezaji aliyecheza Ulaya anayeelekea kustaafu. Na kijana anayepaswa kwenda kucheza Ulaya?

Makolo mna tabia ya kufikiria nyuma mbele! Mbele nyuma
 
Kkwa hiyo Peter Banda na Sakho sio vijana wenye nguvu yaani?
Wanaweza kupambana kwa ubavu na mabeki wa timu za Kaskazini ambao wengi ni vipande vya watu kwa stamina ?
Akina Sakho lazima wawe watu spesho sana kama Mesi na Sarah au Sadio. Hao ni kipaji maalum na wana nguvu ya msuli.
Nasema usajiri wa wachezaji wa nje uangalie na maumbo shindani ki nguvu.
 
Ina maana hamuelewi tofauti ya mchezaji aliyecheza Ulaya anayeelekea kustaafu. Na kijana anayepaswa kwenda kucheza Ulaya?

Makolo mna tabia ya kufikiria nyuma mbele! Mbele nyuma
Tuliaaminishwa kwamba Bigirimana ana miaka 28 sawa kabisa na Okrah na tulipojaribu kupinga tulioenekana hatuna akili, haya leo wewe unajaribu kusema kuwa Biringanya ni mzee na anaelekea kustaafu?

Uto hamjawahi kujielewa😂
 
Mwamba
IMG-20220713-WA0019.jpeg
 
Back
Top Bottom