Kiungo mshambuliaji Augustine Okrah raia wa Ghana, atambulishwa Simba SC

Kiungo mshambuliaji Augustine Okrah raia wa Ghana, atambulishwa Simba SC

sometimes najiuliza tatizo la Kibu kukosa kosa chances za wazi kibao ni tatizo linalorekebishika au sugu? Maana jamaa kakosa chances nyingi sana now naanza kupata furaha labda kuna mtu ataziba lile pengo
Kyombo yupo clinical sana, nje ya box, ndani ya box, na free kicks!
 
Huyu biringanya ni kama kuuziwa bdhaa online kupitia Kikuu..washapigwa watu huko...wamebweteka na kwa kuona kuchezea ulaya miaka 12 ndo bdo upo vile vile...jamaa kashaachana na carrier ya mpira...alikuwa store keeper pale stockharm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna dhambi nyie khaaaah.
 
Okrah + Phiri + Chama+ Sakho + Banda + Kyombo + Manzoki (kama amekamilisha deal)+ Kibu.

Yani mpaka hapo sioni tatizo juu ya swala la attacking kwenye team yetu msimu ujao, maana kuna depth ya kutosha.

Kanoute+Akpan+Kapama+ Mkude+Mzmiru

Sehemu pekee ambapo Simba Sc wamefanya usajili mzuri ila bado sina uhakika mpaka ligi ianze ni kiungo, ikiwa litalipa basi naiona mbali sana Simba Sc ikiwa kocha atajua namna ya kuonga kikosi nakufanya rotation vizuri.

Sioni Simba Sc ilipokosea msimu huu, tofati na msimu uliopita iliposajili mawinga watupu bila playmakers na washambuliaji wa maana.

Wana Simba Sc, stay calm.
[emoji23][emoji23] Manzoki
 
Hawa wachezaji ndio level ya Simba SC.

Timu ya taifa Ghana wanamtambua, wakati Morisson hajulikani, kama issue ni nguvu bila kipaji ni kazi bure.

Kiungo ana goli 14 tena ligi ya Ghana, hii ya kwetu mfungaji bora ana magoli 17, kazi mnayo, na Phiri kule mbele......ohooo.!!
Kiko wapi
img_1_1683796987246.jpg
 
Back
Top Bottom