Okrah + Phiri + Chama+ Sakho + Banda + Kyombo + Manzoki (kama amekamilisha deal)+ Kibu.
Yani mpaka hapo sioni tatizo juu ya swala la attacking kwenye team yetu msimu ujao, maana kuna depth ya kutosha.
Kanoute+Akpan+Kapama+ Mkude+Mzmiru
Sehemu pekee ambapo Simba Sc wamefanya usajili mzuri ila bado sina uhakika mpaka ligi ianze ni kiungo, ikiwa litalipa basi naiona mbali sana Simba Sc ikiwa kocha atajua namna ya kuonga kikosi nakufanya rotation vizuri.
Sioni Simba Sc ilipokosea msimu huu, tofati na msimu uliopita iliposajili mawinga watupu bila playmakers na washambuliaji wa maana.
Wana Simba Sc, stay calm.