Kiungo mshambuliaji Augustine Okrah raia wa Ghana, atambulishwa Simba SC

Kiungo mshambuliaji Augustine Okrah raia wa Ghana, atambulishwa Simba SC

Namwona kama umri imekwenda na pia afya yake ni ndogo.

Simba inatakiwa kusajiri wachezaji vijana wenye nguvu na uwezo wa mpira wa kisasa.

Wachezaji kama Peter Banda, Othaman Sacko na huyo ni kwamba hawana nguvu za kupambana ingawa wana kipaji vya soka. Ukiangalia timu zenye mafanikio Afrika asilimia 90 ya wachezaji wake wana maumbo makubwa.

Yule mchezaji aliyesajiriwa toka Costal Uniona ndio inatakiwa wachezaji wengi wawe kama huyo, umbo chuma uwanjani chuma.

Kumtegemea Sakho aipite gnome ya kibabe ya timu za kaskazini ni kwa bahati nalibu tu.
Maumbo hayachezi mpira , akili kichwani tu ,
Mungu hakupi vyote
 
Hapa simba imekuwasanya magoli 46 kutoka ligi tatu tofauti wakati Yanga wakikusanya magoli 4 kutoka nchi tatu tofauti

Phiri 14
Okrah 14
Manzok 18 (kama usajili ni kweli)
Jumla 46

Morisoni 0
Kambole 2
Bigrlimana 2
Jml 4
 
Hakika
Hapa simba imekuwasanya magoli 46 kutoka ligi tatu tofauti wakati Yanga wakikusanya magoli 4 kutoka nchi tatu tofauti

Phiri 14
Okrah 14
Manzok 18 (kama usajili ni kweli)
Jumla 46

Morisoni 0
Kambole 2
Bigrlimana 2
Jml 4
 
Hapa simba imekuwasanya magoli 46 kutoka ligi tatu tofauti wakati Yanga wakikusanya magoli 4 kutoka nchi tatu tofauti

Phiri 14
Okrah 14
Manzok 18 (kama usajili ni kweli)
Jumla 46

Morisoni 0
Kambole 2
Bigrlimana 2
Jml 4
Af Mwishoe Utapasuka Mechi Zote Au Utashangilia Sare Huku Makombe Yakienda Jangwani [emoji1787]
 
Huyu kapotea njia wenzake wanakwenda Ulaya yy anakwenda MAKOLO kweli wanders shall never end...
Haya haya Makolo ambayo hata kikombe cha chai hayana
Vipi yule alietoka ulaya akaja topoloni hapa ambao hata kikombe cha gahawa hawana
 

Attachments

  • 20220709_185727.jpg
    20220709_185727.jpg
    13.3 KB · Views: 5
Klabu ya Simba katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa msimu ujao 2022/2023 katika michezo ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa, leo Julai 13 2022 imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji (Attacking Midfielder) Augustine Okrah raia wa Ghana, kwa mkataba wa miaka miwili akitokea klabu ya Bechem United ya nchini Ghana.

"Mchezaji mkubwa mwenye hadhi ya kucheza timu kubwa kama Simba Augustine Okrah ni Mnyama". Imeeleza kwa ufupi taarifa kutoka klabu ya Simba.

Mghana huyu Okrah (28) ambaye alikuwa kwenye kiwango bora kabisa katika klabu ya Bechem United msimu wa 2021/22, ambapo cha kuvutia zaidi kwake ni uwezo wake mkubwa ndani ya dimba wa kutengeneza mabao na kufunga mabao akiwa amehusika mabao 18, huku akiwa amefanikiwa kufunga mabao 14, na akitoa pasi za mwisho za mabao 4 katika michezo 32 ya Ligi Kuu nchini Ghana.

Nyota huyu Okrah mwenye rekodi zake, ambaye anachezea timu ya Taifa ya nchini Ghana chini ya Kocha Otto Addo, amewahi pia kuzitumikia klabu kadhaa, zikiwepo RB Ghana, Al Merreikh, Asante Kotoko na Bechem United.

Kulipewa Mwana Kulitaka Mwana



👏👏safi san chama lang🦁🦁! Vyura🐸🐸 watapinga
 
Anacheza na akina nani huko kwenye ligi atokayo?
Nimeangalia Video zake, ni avarage player, na mbaya zaidi hatuna bahati ya kupata watu makini kutoka Afrika Magharibi.

MTASAGA MENO MPAKA MKOME
Mwaka huu nyie uto tutawaf**a, si mtaona!
 
Binafsi nasibiri sana jezi pamoja na mzamini atakae kaa kwenye jearsey, sijui lini Tz tutakuwa na uwezo wa kutoa jezi quality kama wenzetu South, Egypt, emagine hata wenzetu waganda wametuzidi.
FB_IMG_1657718443164.jpg
 
Wanaweza kupambana kwa ubavu na mabeki wa timu za Kaskazini ambao wengi ni vipande vya watu kwa stamina ?
Akina Sakho lazima wawe watu spesho sana kama Mesi na Sarah au Sadio. Hao ni kipaji maalum na wana nguvu ya msuli.
Nasema usajiri wa wachezaji wa nje uangalie na maumbo shindani ki nguvu.
Acha kukariri , Sergio Busquets na Banda nani ana umbo kubwa kuliko mwingine? Afu kama ni hilo tu mbona Wachezaji wenye maumbo makubwa like Cameroon huko hawajawahi kuchukua kombe la dunia?
 
Hapa simba imekuwasanya magoli 46 kutoka ligi tatu tofauti wakati Yanga wakikusanya magoli 4 kutoka nchi tatu tofauti

Phiri 14
Okrah 14
Manzok 18 (kama usajili ni kweli)
Jumla 46

Morisoni 0
Kambole 2
Bigrlimana 2
Jml 4
Daaah hii si afya nzuri kwenye Kabumbu.. Naona pumzi ya moto upande wa pili.
 
Back
Top Bottom