Kyombo yupo clinical sana, nje ya box, ndani ya box, na free kicks!sometimes najiuliza tatizo la Kibu kukosa kosa chances za wazi kibao ni tatizo linalorekebishika au sugu? Maana jamaa kakosa chances nyingi sana now naanza kupata furaha labda kuna mtu ataziba lile pengo
Hata Iyo Ya Kubanduana Haina Uzito Pia Kwasababu Minduku Ya Aina Yako Nishaifi** Sana... Tufanye Hivi Mmoja Akifungwa AUWAWE.hayo mambo ya kuitana mbwa hayana uzito ,sema tukiwafunga tukubandue .
hayo mambo ya kuitana mbwa hayana uzito ,sema tukiwafunga tukubandue .
Banda ametoka timu inayoshiriki UEFA ambayo iliwafunga mabingwa wa UEFA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine huyo ni kiungo ana goli 14. kuna striker topolo mechi 40 gali 2
Noumaaaaaah!!! Ni hatareeeee
Kwa magoli haya hapa Simba "tumepigwa" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna dhambi nyie khaaaah.Huyu biringanya ni kama kuuziwa bdhaa online kupitia Kikuu..washapigwa watu huko...wamebweteka na kwa kuona kuchezea ulaya miaka 12 ndo bdo upo vile vile...jamaa kashaachana na carrier ya mpira...alikuwa store keeper pale stockharm
Haha!ukwel lazima usemwe...Ila Kaze anacheza sanaa na akili za wana utopolo.,..kaamua kuwa kuhadi wa garasa kutoka ulaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mna dhambi nyie khaaaah.
Unataka kuwa mbwa gan Koko au Hawa wa ulnzi?Nyie Mkitufunga Msimu Ujao Kwenye Mechi Yoyote ile Kwenye Kila Post Au Comment Yangu Nitakayoweka Hapa JF Niite Mbwa..
Rudi kaangalie mnachoponda na kukipigia majunguBanda ametoka timu inayoshiriki UEFA ambayo iliwafunga mabingwa wa UEFA
Rudi kaangalie mnachoponda na kukipigia majunguBanda ametoka timu inayoshiriki UEFA ambayo iliwafunga mabingwa wa UEFA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha!ukwel lazima usemwe...Ila Kaze anacheza sanaa na akili za wana utopolo.,..kaamua kuwa kuhadi wa garasa kutoka ulaya
[emoji23][emoji23] ManzokiOkrah + Phiri + Chama+ Sakho + Banda + Kyombo + Manzoki (kama amekamilisha deal)+ Kibu.
Yani mpaka hapo sioni tatizo juu ya swala la attacking kwenye team yetu msimu ujao, maana kuna depth ya kutosha.
Kanoute+Akpan+Kapama+ Mkude+Mzmiru
Sehemu pekee ambapo Simba Sc wamefanya usajili mzuri ila bado sina uhakika mpaka ligi ianze ni kiungo, ikiwa litalipa basi naiona mbali sana Simba Sc ikiwa kocha atajua namna ya kuonga kikosi nakufanya rotation vizuri.
Sioni Simba Sc ilipokosea msimu huu, tofati na msimu uliopita iliposajili mawinga watupu bila playmakers na washambuliaji wa maana.
Wana Simba Sc, stay calm.
Kiko wapi?Najaribu kuwaza hapa
6 Akpan
7 Sakho
8 Chama
9 Manzoki
10 Phiri
11 Okrah
Watu wanavuta pumzi ya motooo
Kumbe Manzoki alikuwepo na hatujui, watu mna siriNajaribu kuwaza hapa
6 Akpan
7 Sakho
8 Chama
9 Manzoki
10 Phiri
11 Okrah
Watu wanavuta pumzi ya motooo
Okrah + Phiri + Chama+ Sakho + Banda + Kyombo + Manzoki (kama amekamilisha deal)+ Kibu.
Yani mpaka hapo sioni tatizo juu ya swala la attacking kwenye team yetu msimu ujao, maana kuna depth ya kutosha.
Kanoute+Akpan+Kapama+ Mkude+Mzmiru
Sehemu pekee ambapo Simba Sc wamefanya usajili mzuri ila bado sina uhakika mpaka ligi ianze ni kiungo, ikiwa litalipa basi naiona mbali sana Simba Sc ikiwa kocha atajua namna ya kuonga kikosi nakufanya rotation vizuri.
Sioni Simba Sc ilipokosea msimu huu, tofati na msimu uliopita iliposajili mawinga watupu bila playmakers na washambuliaji wa maana.
Wana Simba Sc, stay calm.
Kiko wapiHawa wachezaji ndio level ya Simba SC.
Timu ya taifa Ghana wanamtambua, wakati Morisson hajulikani, kama issue ni nguvu bila kipaji ni kazi bure.
Kiungo ana goli 14 tena ligi ya Ghana, hii ya kwetu mfungaji bora ana magoli 17, kazi mnayo, na Phiri kule mbele......ohooo.!!
[emoji23][emoji23] aisee wewe jamaa bora ukaage kimyaImagine huyo ni kiungo ana goli 14. kuna striker topolo mechi 40 gali 2