Kiusalama kesi ya Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani ili kuepusha mkusanyiko

Kiusalama kesi ya Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani ili kuepusha mkusanyiko

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Teknolojia iko mbele sana na tunaipongeza mahakama kwa kuendesha kesi kimtandao.

Kwa kuwa ugaidi ni jambo zito sana linalohatarisha usalama wa nchi, na hatuna uhakika kama magaidi wote wamekamatwa, ni vyema kesi ya mtuhumiwa wa ugaidi, Mbowe iendeshwe kwa njia ya mtandao akiwa gerezani.

Naona hatari sana endapo magaidi wenzake watajikusanya katika wananchi wakijifanya kuenda kusikiliza kesi kisha wakafanya tukio, ikiwemo kujilipua.

Mtu kama mdude ameshanukuliwa miezi kadhaa kabla hajapelekwa stoo, akisema atafanya tukio

Asanteni, natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom