Kiutaniutani Trump anaondoka White House

Trump haendi popote.. usiamini sana CNN, MSNBC na ABCNews..
Nakumbuka kipindi cha uchaguzi nilikuwa napenda sana kumtazama Larry King kwenye kipindi chake cha Politiking cha Ruptly TV (RT) nikawa napuuzia kila anachokisema. Baba weeh yaani uchaguzi ulikuja vilevile alivotabiri. Upande wa CNN na Fox walinilisha sana matango pori.

Sent from my PBCM30 using Tapatalk
 
Sikubaliani na wewe kwa mambo mengine lakini naamini ni mojawapo ya wa Tanzania wenye kujitambua sana unatumia akili yako vyema tatizo unaishi taifa lenye vipofu.
Mungu akupe maisha marefu uendelee kuisadia hii jamii ya vipofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... angalau umetumia akili yako kuandika
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye bunge mojawapo demokrat wapo wachache
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo la pili ni matokeo ya la kwanza..... ameingilia uhuru wa congress baada ya kuona anaonewa!....


hilo la kwanza, ni kweli hunter biden alipaswa kuchunguza.........

kwaio hapa dems wanampa kiki ili 2020 asipige kampeni maana washeshamfanyia kampeni wenyewe...........

btw, nilidhan kwa Muller they had a solid case, ila kwa sasa ni upuuzi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gazeti la America today kesho asubuhi kichwa cha habari "NEC wamvaa Trump, Chama tawala chamkingia kifua, yeye adai ni ajenda za chadema Carlifonia"

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huwa napitia Tweets na Facebook page ya Donald Trump.
Naamini kwamba ni mmoja wa maraisi wanaoongoza Kwa tabu sana.
Wanamnyanyasa kwelikweli.
Kalikoroga mwenyewe na misimamo yake ya kipuuzi na kibaguzi dhidi ya dini na mataifa mengine wakati anaingia nyumbe nyeupe.
Mwacheni alinywe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…