Kivuli cha Hayati Magufuli kinataka kumtingisha Rais Samia



Hiyo sio sera inayo encourage production sector. Ni kwenye kilimo tu na tourism tu.

Huko serious kwenye ajira weka na capital allowance kwenye PPE (plant, property na equipment) za kwenye production and manufacturing sector zote as well as in services.

Punguza kodi za ovyo bandarini au ondoa import duties (on plant and equipment) that’s what people do wakitaka kutengeneza ajira au kukuza huduma zingine au uchumi.

Sio waziri anae ropoka tu au kufanya makongamono na kujadili vitu visio na kichwa wala miguu. Bila ya kuangalia sector wanazotaka kukua wazisaidie vipi ni watu wanaoropoka tu.
 
Shida ninayoiona hapa watu wanajaribu sana kuwalinganisha hawa viongozi wanasahau kuwa Mungu huwa hatoi copy Mgufuli hawezi kuwa Samia na Samia hawezi kuwa Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…