Kiwanda cha biskuti za bangi chagunduliwa Kawe

Hasa hizi za Happy birthday
 
Lazima ushangae kwasababu umekua brainwashed kuhusu huu mmea ( bangi )
Hahaha..kivipi mkuu?

Hadi umri huu situmii na sijawahi kutumia pombe, sigara au bangi .

Ukiachilia tu trace amount ya alcohol kwenye dawa labda za hospital nayo ni acceptable level .

Sasa huo uzuri wa hivyo vitu ni upi labda unieleze.

Nachofahamu tu tofauti ya bangi na sigara ni , Nicotine is more dangerous kuliko tetrahydrocannabinol 9 inayopatikana kwenye bangi.
 
Soma kwa undani structure ya bangi,,

Hapo utafahamu kila kitu mkuu..
 
Kuna dogo mmoja yeye ni pusher wa skanka,yeye kuanzia saa sita mpaka usiku wa manage ana supply hyo kitu
Kwa wateja wake
Wengi wao madem tena wengine wakali....na wengine wana professional zao .....muda wote yuko na bodaboda kama kishada

Ova
 
Unaweza pia ukaja itumia bangi kama tiba pia....

Ova
 
Unaweza pia ukaja itumia bangi kama tiba pia....

Ova
Bangi iko schedule I kwa mujibu wa mgawanyo wa dawa zenye kuleta uraibu kwa kiwango kikubwa hadi kidogo.

Kundi hilo lina bidhaa zisizo na matumizi ya tiba , japo mimi niliwahi kuambiwa bibi na babu zetu baadhi walijua kuiandaa bangi katika namna ya kuchukua sehemu fulani ya mmea na kuna namna waliandaa kupata dawa ila sio mmea mzima (jani) ambalo lina Tetrahydrocannabinol 9 ambayo ndio inaleta hiyo wanaita steam.
 
Kuna dogo mmoja yeye ni pusher wa skanka,yeye kuanzia saa sita mpaka usiku wa manage ana supply hyo kitu
Kwa wateja wake
Wengi wao madem tena wengine wakali....na wengine wana professional zao .....muda wote yuko na bodaboda kama kishada

Ova
Asee....
 
There is no strong reason to hate weed,Ile kitu ni among special creations na pia unaweza kuitumia kusema na sir God mwenyewe Bila ya pasta wala sheikh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…