Kiwanda cha Cement Tanga chasimamisha uzalishaji kutokana na ukosefu wa umeme

Sasa kwa utaahira huu ni kwanini waziri asijiuzulu?
Sasa kwa utaahira huu ni kwanini waziri asijiuzulu?

Fupa hili limewashindwa Dr. Magufuli, Prof. Muhongo, Dr. Medard Kalemani, Dr. Doto Biteko, January Makamba sasa tujiulize nje ya box nini ni tatizo ?


Wanasiasa wasomi lukuki na wataalamu kibao NDC National Development Corp., STAMICO, TRC Tanzania Railway Corp, TAZARA, TPDF/ JWTZ n.k kwa pamoja wameshindwa kupata ufumbuzi na kumaliza changamoto hii nini tatizo?
 
Tatizo sio TANESCO ; tatizo ni waziri anaehusika na hio wizara ni seti tupu. mjinga mmoja hivi ambae anawaza na kua na ndoto eti siku moja atakua rais wa nchi. Na huyu mama Hangaya alivyo mpole anajifanya haoni utendaji mbovu wa hii kenge,.
 
Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji na hatua zaidi tafadhali onesha namba ya simu kwa kuwa Tanga kuna viwanda vya cement zaidi ya kimoja
 
Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji na hatua zaidi tafadhali onesha namba ya simu kwa kuwa Tanga kuna viwanda vya cement zaidi ya kimoja

Yaani ulichokiandika ndiyo Taarifa rasmi kutoka Shirika kubwa kama Tanesco, si ni bora ungekaa kimya tu badala ya kujibizana Mitandaoni kwa niaba ya Shirika ? Kwa maoni yangu hauna uwezo hata wa kuendesha gereji ya Miembeni, this is too low!
 
Uongo
Magufuli alipo kuja na sera ya Viwanda alianza na kutengeneza nishati ya umeme...
Kule kusini...
Unafikiri bila kuwa na nishati ya kutosha ya umeme huwezi kuwa na viwanda
 
Tumepokea taarifa kwa ufatiliaji na hatua zaidi tafadhali onesha namba ya simu kwa kuwa Tanga kuna viwanda vya cement zaidi ya kimoja
Namba ya simu ya nini wakati Tanga hakuna umeme rudisheni umeme wa kutosha, inamana ile ofisi ya kanda pale Tanga haina taarifa ya tatizo hili?
 
Wafuasi wa dikteta wanajifariji eti angekuwepo yasingetokea haya.

Kwa serikali hii ya chama chakavu kwanini yasingetokea ?
Kwani kwa uongo? wakati wa Magufuli hayo mambo hayakuwepo pamoja na kuunganisha vijiji zaidi ya elfu 7 ,na kufungua viwanda kila sehemu,hatukusikia kiwanda kufungwa kwakukosa umeme,hizi ni mbinu za kina Makamba kuijumu tanesco ili tanesco waonekane wameshindwa kazi wapate kujiuzia hili shirika.
 
Kwahiyo enzi za the so called Magufuli umeme ulikuwa haukatiki?
 
Ebu Kipara njoo ujibu hizi tuhuma. Na huko ni nyumban kwako kabisa
 
Tatizo la nchi hii ni lile lile:-

Kuithamini siasa kuliko Utaalamu
Kuwajali wanasiasa kuliko wasomi
 
Kwahiyo enzi za the so called Magufuli umeme ulikuwa haukatiki?
Hapa hatujazungumza kukatika, kiwanda kimekosa kuzalisha mali kwa kukosa umeme,bora siukatike utarudi badae ili Kazi iendelee, wenye kiwanda wanasema kiwanda hakina umeme kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…