Sasa kwa utaahira huu ni kwanini waziri asijiuzulu?
Sasa kwa utaahira huu ni kwanini waziri asijiuzulu?
Fupa hili limewashindwa Dr. Magufuli, Prof. Muhongo, Dr. Medard Kalemani, Dr. Doto Biteko, January Makamba sasa tujiulize nje ya box nini ni tatizo ?
Wanasiasa wasomi lukuki na wataalamu kibao NDC National Development Corp., STAMICO, TRC Tanzania Railway Corp, TAZARA, TPDF/ JWTZ n.k kwa pamoja wameshindwa kupata ufumbuzi na kumaliza changamoto hii nini tatizo?