Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Umeona mbali Sana.Hapa linatafutwa soko la piki piki na toyo.
Watu waliozoea kutumia punda lazima wanunue kama wanyama hao wataisha.
Hii ni intelijensia ndogo ya kiuchumi.
Akili ndogo inafikiri kuwa wanatafuta nyama tu.
Siku hizi Mmeacha kuwatumia Fisi kwny uzinduzi wa kampeni za Ccm?watu watafuga wengine
Punda ndio mbadala wa mikokoteni ambayo ni gharama, punda ndio msaada wamama na watoto wa kike kwenye familia za wafugaji.Unakazi gani na punda? Nenda alibaba uone nyama ya farasi inavyouzwa.Tuache uoga lazima twende na wakati.
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
Mbona farasi ni halal bibie ,ulikwama wapi yaaniNilikaribishwa chakula kwa Wasomali, katikati ya kula pilau mama alisema yaani tulisubiri hii nyama mpaka kukata tamaa maana ni duka lile tu ndo wanauza nyama ya farasi.
Baada ya hii sentensi nilijikaza nisitapike, nilimaliza salad kwenye sahani nikaongeza na matunda kwa ustaarabu nilitoa shukran kwa chakula.
Nagu alifunga kila kitu, nitaendelea kumlaumuKiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko SHINYANGA chafunguliwa kuendelea na uzalishaji.
Source: Taarifa ya habari CHANNEL 10
Tuendelee kupeleka punda kwa wingi
Hatari imerudi tena wizi wa punda kushamiri tena
Hivi na wewe ni Mgogo?Wagogo wamepata biashara!
Kwangu wanyama wakuliwa ni ng’ombe, mbuzi, kondoo na nguruwe. Hawa ninawala kwakua tu ninahitaji iron lakini ni ninaridhika kula mboga na maharage.Mbona farasi ni halal bibie ,ulikwama wapi yaani
Yaani hata nacho alikifunga?Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko SHINYANGA chafunguliwa kuendelea na uzalishaji.
Pengine huyo mama aligundua mkono wako hauondoki kwenye nyama alitaka kukutia hand brake!Nilikaribishwa chakula kwa Wasomali, katikati ya kula pilau mama alisema yaani tulisubiri hii nyama mpaka kukata tamaa maana ni duka lile tu ndo wanauza nyama ya farasi.
Baada ya hii sentensi nilijikaza nisitapike, nilimaliza salad kwenye sahani nikaongeza na matunda kwa ustaarabu nilitoa shukran kwa chakula.
Hakuna punda asiyekuwa na mmiliki. utakachofanya ni wiziHii fursa aisee, ngoja nitafute hela kwanza, nitakuwa nasafirisha.
KULE KWETU WANAZAGAA HOVYO TU!
Siwezi kuwaiba mkuu bali nawachukua tu.Hakuna punda asiyekuwa na mmiliki. utakachofanya ni wizi