Donkey
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 1,499
- 1,584
Utawachukua tu kwani umeona takataka zimetupwa?' Nawetete ndugu zangu punda sababu nimekuzwa na punda kutokana na kutuingizia kipato kupitia kazi. familia nyingi hazina uwezo wa kumiliki gari. ila kumiliki punda ni rahisi. fikiria kama gari au punda ya familia inaibiwa.Siwezi kuwaiba mkuu bali nawachukua tu.
NJE YA MADA;
Nimestaajabu sana na jina la ID yako na jinsi unavyowatetea Punda.