Kiwanda cha nyama ya Punda cha wachina kilichoko Shinyanga chafunguliwa kuendelea na uzalishaji

Siwezi kuwaiba mkuu bali nawachukua tu.

NJE YA MADA;
Nimestaajabu sana na jina la ID yako na jinsi unavyowatetea Punda.
Utawachukua tu kwani umeona takataka zimetupwa?' Nawetete ndugu zangu punda sababu nimekuzwa na punda kutokana na kutuingizia kipato kupitia kazi. familia nyingi hazina uwezo wa kumiliki gari. ila kumiliki punda ni rahisi. fikiria kama gari au punda ya familia inaibiwa.
 
Basi na viwanda vya kusindika nyama ya ng'ombe visijengwe!
Unafikiri punda wanachinjwa kwa ajili ya Nyama?. Hiyo ni sababu tu. kikubwa ni ngozi ya punda tu ndiyo muhimu kwao.ngozi ya punda inapelekwa China kwenda kutengeneza nguvu au hamu ya kufanya mpenzi kupitia dawa inayoitwa EJIAO.
 
Punda ndio mbadala wa mikokoteni ambayo ni gharama, punda ndio msaada wamama na watoto wa kike kwenye familia za wafugaji.

Nenda kongwa jimboni kwa Spika uone jinsi punda wanavyosaidia wanawake na watoto wanaotafuta maji ambali mrefu.

Bila punda ni mateso kwa wakina mama hasa familia za wafugaji.
Huoni solution ni kwa serikali kutatua changamoto ya maji na wafuagaji kuacha kurandaranda badala ya kuona hivi viwanda vitaleta mateso?!
 
Hoja ya msingi hapo sio byproduct bali unaamini kukiwa na hicho kiwanda, kitavutia watu kuuza punda hata wa wazi kwavile soko!! Kama ndivyo, basi hata ukijenga kiwanda cha beef unamaanisha kitavutia watui kuuza ng'ombe hadi wa wizi!

Je, ina maana viwanda vya beef visijengwe kwa kuhofia wizi wa ng'ombe?
 
Huoni solution ni kwa serikali kutatua changamoto ya maji na wafuagaji kuacha kurandaranda badala ya kuona hivi viwanda vitaleta mateso?!
lazima vilete mateso kwa wafugaji wa punda sababu punda anafanya shughuli nyingi sana na wengine ndiyo mradi wa familia kwa punda kuvuta mkokoteni uliojaa mchanga. mawe.kuni. mazao shambani na hata wagonjwa.mkokoteni wa punda unaingiza sh 20.000 mpaka 50.000 kwa siku
 
Kwahiyo unaona hawa wananchi hawana akili?!

Kwamba, kwa mfano mtu ana punda wake wawili anaofanyia hiyo biashara inayomuungizia 20K to 50K per day kwa siku lakini bado anaamua kwenda kumuuza?

Na hata akienda kumuuza, ina maana yeye hajui kilicho bora kwake?! Kuna tofauti gani na mtu anayeuza gari alilokuwa anatumia kwa usafiri, au hata kuuza nyumba aliyokuwa anaishi?
 
Hatari imerudi tena wizi wa punda kushamiri tena
We donkey lazima tuwanyooshe pumbavu zenu
Hamtaki kubeba mizigo mmekua wabishi sasa nikuwapeleka kwa mchina tuu
 
Nyinyi si ndio wale kimuingiacho mtu sio najisi bali kimtokacho mtu mnashangaa kiwanda Cha nyama ya punda andiko lonaloruhusu nguruwe si ndio linaruhusu nyama yoyote.Tupo kwenye mchakato wa kufungua kiwanda Cha mbwa Iringa na morogoro
Mkuu mbona pindamilia naliwa inakuwaje punda wa kawaida asiliwe??
 
Kwahiyo unaona hawa wananchi hawana akili?!

Kwamba, kwa mfano mtu ana punda wake wawili anaofanyia hiyo biashara inayomuungizia 20K to 50K per day kwa siku lakini bado anaamua kwenda kumuuza?

Na hata akienda kumuuza, ina maana yeye hajui kilicho bora kwake?! Kuna tofauti gani na mtu anayeuza gari alilokuwa anatumia kwa usafiri, au hata kuuza nyumba aliyokuwa anaishi?
Bei ya punda mzima mwenye afya ni sh 80,000 mpaka 100.000. ngozi ya punda ni sh 80,000. haya kipi bora hapo. punda afanye kazi au uuze kitendea kazi kwa malipo hayo.
 
Punda ndio mbadala wa mikokoteni ambayo ni gharama, punda ndio msaada wamama na watoto wa kike kwenye familia za wafugaji.

Nenda kongwa jimboni kwa Spika uone jinsi punda wanavyosaidia wanawake na watoto wanaotafuta maji ambali mrefu.

Bila punda ni mateso kwa wakina mama hasa familia za wafugaji.
Kumbe jmbo la ndugai nako kuna shda ya maji? Nilijua hakuna baada ya mbunge haramu wa jmbo la lisu kusema bungen kwmb uko ikungi kuna shda ya maji ndugai akadai shda ni lisu kutelekeza jmbo na kwenda ubelgiji.
Nikajua kwake hakuna shda kbs maana yupo tu
 
Back
Top Bottom