The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Nashindwa kutoa maoni Concrete as Kuna taarifa za msingi zinakosekana kwenye andiko lako.
Ila unapotaka kufanya biashara ambayo tayari ipo (already existing business) unatakiwa kuangalia weakness za washindani wako Kwa kuangalia wapi wamekosea upande wa quality/quantity/market/brandings n.k
Hujasema unataka kufanya at which horizons i.e small scale/medium/large
Kwa kutumia uzoefu naweza kushauri kuhusu biashara ya Maji ambayo haihitaji gharama kubwa za Uendeshaji (O&M) zaidi ya gharama za madawa kwaajili ya kutibu as Maji yanapatikana kiurahisi ambapo unaweza kuyanunua kwenye Mamlaka za Maji iwe DAWASA/MWAUWASA/MORUWASA n.k
Ili ku-penetrate Soko hakikisha unakuwa na packaging nzuri na Maji yawe mazuri. Mikoa ya Mbeya/Iringa/Morogoro/Mwanza/Ruvuma Wana Maji matamu sana
Kama upo serious na biashara moja wapo ya hizo mbili niajiri nikufanyie tathmini ya kina na kuja chaguo sahihi.
Maana factors za kufikia kwenye Chaguo sahihi zipo nyingi ambapo upembuzi wa kina unahitaji.
Kila la heri Bilionea ujaye wa Kitanzania 🙏💪👊
Unafanya research only?
Kipi kingine unafanya?
Kukuajiri ndo kiasi gani?