Kiwanda cha sabuni vs kiwanda cha maji

Kiwanda cha sabuni vs kiwanda cha maji

Nashindwa kutoa maoni Concrete as Kuna taarifa za msingi zinakosekana kwenye andiko lako.

Ila unapotaka kufanya biashara ambayo tayari ipo (already existing business) unatakiwa kuangalia weakness za washindani wako Kwa kuangalia wapi wamekosea upande wa quality/quantity/market/brandings n.k

Hujasema unataka kufanya at which horizons i.e small scale/medium/large

Kwa kutumia uzoefu naweza kushauri kuhusu biashara ya Maji ambayo haihitaji gharama kubwa za Uendeshaji (O&M) zaidi ya gharama za madawa kwaajili ya kutibu as Maji yanapatikana kiurahisi ambapo unaweza kuyanunua kwenye Mamlaka za Maji iwe DAWASA/MWAUWASA/MORUWASA n.k

Ili ku-penetrate Soko hakikisha unakuwa na packaging nzuri na Maji yawe mazuri. Mikoa ya Mbeya/Iringa/Morogoro/Mwanza/Ruvuma Wana Maji matamu sana

Kama upo serious na biashara moja wapo ya hizo mbili niajiri nikufanyie tathmini ya kina na kuja chaguo sahihi.

Maana factors za kufikia kwenye Chaguo sahihi zipo nyingi ambapo upembuzi wa kina unahitaji.

Kila la heri Bilionea ujaye wa Kitanzania 🙏💪👊

Unafanya research only?

Kipi kingine unafanya?

Kukuajiri ndo kiasi gani?
 
Unafanya research only?

Kipi kingine unafanya?

Kukuajiri ndo kiasi gani?
Natoa huduma ya Ushauri wa Kitaalamu yaani Consultancy service especial upande wa miradi ili kufanya tathmini na kumshauri Mwekezaji kabla haja-inject fedha zake.

Kuhusu kiasi cha kutoza itategemea na Ukubwa wa Mradi japo nachaji Kwa percentage ya gharama za Mradi.
 
Mzee hapo kwenye ku charge Kutokana na Gharama za mradi.
👉Kwa sisi hoe hae una yumba😄😄
 
Tuta bargain ukiwa tayari

Nitakufanyia bei ya kizawa, ukishindwa kabisa nitakwambia unipe hisa (shares tu) 🤗
Mzee uta pata ng'ombe 1 wa maziwa, Kumbuka sisi ni familia😄.
👉Hapo kwenye share holder nime cheka kwa sauti😄😄, Ime bidi nika angalie umiliki wa bakhresa kweenye soko la hisa.

Nika gundua ana miliki asilimia 3, kwenye soko la hisa, na kawekeza mkwanja mrefu.
👉Afu we ushauri tu, una taka upate kizembe , 🤔😂😁.
👉Nisamehe🙏🙏, mjukuu wako bahili🏃🏃🏃
 
Nauliza for future use, kwani Kuna kosa Kwenye kuji funza
Upo sahihi hii tunaita MAONO (Vision) ni wachache sana wanao ona mbali. Ndo maana huwa nasema utajiri ni Spiritual thing lazima kuwe na Maono!
Ni wapuuzi wachache watakuja na kejeli hapa

Lakini mkuu hichi unachokipa maono unakwenda kufanikiwa haijalishi inahitaji mtaji kiasi gani! Ulimwengu wa roho ukipiga tiki thats what is going to happen.

Saa nyingine mtu anaweza onekana kichaa kwa kuleta wazo fulani kubwa lakini hawajui ili uweze fanikiwa ni lazima wengine wakuone kichaa kumbe ndo unaenda hivo.

Mimi nikimuonesha mtu Vision yangu anaweza niita kichaa lakini hajui kwamba nimeshapiga hesabu wapi pesa itapatikana na ulimwengu wa roho ulishapiga TIKI kubwa kinachosubiri ni utekelezaji tu.Sometimes to know your situation you must Dive in the spiritual realm huko huwa hakudanganyi na ndo mambo yote unayoona mwilini yanakoanzia.

BIG UP lazima tukate the Chain of Poverty kwenye jamii zetu.
 
Upo sahihi hii tunaita MAONO (Vision) ni wachache sana wanao ona mbali. Ndo maana huwa nasema utajiri ni Spiritual thing lazima kuwe na Maono!
Ni wapuuzi wachache watakuja na kejeli hapa

Lakini mkuu hichi unachokipa maono unakwenda kufanikiwa haijalishi inahitaji mtaji kiasi gani! Ulimwengu wa roho ukipiga tiki thats what is going to happen.

Saa nyingine mtu anaweza onekana kichaa kwa kuleta wazo fulani kubwa lakini hawajui ili uweze fanikiwa ni lazima wengine wakuone kichaa kumbe ndo unaenda hivo.

Mimi nikimuonesha mtu Vision yangu anaweza niita kichaa lakini hajui kwamba nimeshapiga hesabu wapi pesa itapatikana na ulimwengu wa roho ulishapiga TIKI kubwa kinachosubiri ni utekelezaji tu.Sometimes to know your situation you must Dive in the spiritual realm huko ndo mambo yote unayoona mwilini yanakoanzia.

BIG UP lazima tukate the Chain of Poverty kwenye jamii zetu.
Thanks mkuu, kiukweli nime kuwa naji wazia na kuji pangia makubwa.
Since Nikiwa chalii mdogo tu.

Mambo haya yaki timia, IPO siku nita simama na kusema kuwa - I made it through belief and courage.

Umasikini lazima tuupinge, nime jiwekea baadhi ya vitu sito fanya.
Mpaka angalau nitoboe, maana cycle ya Umasikini mbaya mnoo
 
Mkuu Utafanikiwa! Japo vita yake sio ndogo maana shetani Mpuuzi sana ameshaliona kuwa unataka kuja kufanya nini na utakua nani anajua kwahiyo atakuja na vipingamizi vya kukukatisha tamaa.

Liweke pia jambo lako kwenye Maombi au Dua kama ni muislamu.
 
Back
Top Bottom