Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Kila la Kheri.Pamoja mkuu🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la Kheri.Pamoja mkuu🙏
Kheri itawale kwetu sote 🙏Kila la Kheri.
Amina. Na mimi nikipata hela nitajenga kiwanda. Hata kama ni kidogo,ila nitajenga. 🙏🏿Kheri itawale kwetu sote 🙏
Mi nafanya business ya sabuni mkuu lakini katika local level najipanga ili niifanye kwa ukubwa ila mambo ya maji nayajua kuliko sabuni mkuu maji hayana hela kuliko sabuni viwanda vipo vingi sana halafu hayana beiFunguka zaidi mkuu, ma jobless tuji funze.
Naweza kuja kutembelea mkuu??, Branding na marketing ndo wanacho patia wakubwa.Mi nafanya business ya sabuni mkuu lakini katika local level najipanga ili niifanye kwa ukubwa ila mambo ya maji nayajua kuliko sabuni mkuu maji hayana hela kuliko sabuni viwanda vipo vingi sana halafu hayana bei
Ukitaka formula za sabuni na shampoo tuko pamoja mkuu kusaidiana kwenye hilo mostly welcomeBaweza kuja kutembelea mkuu??, Branding na marketing ndo wanacho patia wakubwa.
Asante mkuu, as long Uzi haufi- Nikiwa tayari nita kuja🙏🙏.Ukitaka formula za sabuni na shampoo tuko pamoja mkuu kusaidiana kwenye hilo mostly welcome
Japo hiyo itategemea zaidi aina ya Maji...Maji lazima ununue mtambo wa reverse osmosis.
Mbilia Bel alikuwa Malikia wa Muziki wa Kilingala ambao miaka ile ya 90 wakati ndiyo tunastaafu utumishi alikuwa anatamba...Mbilia abbel🤔😄, ndo nani huko daslam🤣
Eti miaka ya 90 😄, mzee una swaga🤣🤣🤣.Mbilia Bel alikuwa Malikia wa Muziki wa Kilingala ambao miaka ile ya 90 wakati ndiyo tunastaafu utumishi alikuwa anatamba...
Kusema kweli Wastaafu wa miaka ile alitupata hakika 😜
Unataka kumfahamu? Mwangalie hapo Chini;
View attachment 2889433
Ni kama ninyi mnavyozuzuka na akina Poshy Queen ama Mobero nasi miaka ile ilikuwa hivyo.Eti miaka ya 90 😄, mzee una swaga🤣🤣🤣.
👉Ki mzeee huyu ndi ali wazuzua🏃🏃
It's compulsory kuwa na huo mtambo kwasababu bila hvyo yatakuwa maji ya dawasa mkuu na kila mtu angekuwa na kiwanda.Japo hiyo itategemea zaidi aina ya Maji...
Kama Maji hayana chumvi Wala tope sidhani kama atahitaji kununua huo mtambo
Okay...It's compulsory kuwa na huo mtambo kwasababu bila hvyo yatakuwa maji ya dawasa mkuu na kila mtu angekuwa na kiwanda.
Inategemea na source ya maji yako kwa mfano kilimanjaro ni spring bakhresa ni visima sasa maji ya kisima yana process kuliko spring kwa hyo bei inategemea na manufacturing process yako mkuu lakini kwenye sabuni kuna hela mkuu maji siku hizi yamekuwa mengi sana.Okay...
Shukrani Kwa maarifa, ila biashara ya Maji bado imekuwa na Soko kubwa sana japo makampuni yameongezeka.
Kuna Kampuni Moja naona wanauza carton 1 shilingi 3,400 Maji ambayo kule Mbeya wanauza 5,500
Shukrani Kwa maelezo yako ya kinaInategemea na source ya maji yako kwa mfano kilimanjaro ni spring bakhresa ni visima sasa maji ya kisima yana process kuliko spring kwa hyo bei inategemea na manufacturing process yako mkuu lakini kwenye sabuni kuna hela mkuu maji siku hizi yamekuwa mengi sana.