Kiwanda cha sabuni vs kiwanda cha maji

Kiwanda cha sabuni vs kiwanda cha maji

Mi nafanya business ya sabuni mkuu lakini katika local level najipanga ili niifanye kwa ukubwa ila mambo ya maji nayajua kuliko sabuni mkuu maji hayana hela kuliko sabuni viwanda vipo vingi sana halafu hayana bei
Naweza kuja kutembelea mkuu??, Branding na marketing ndo wanacho patia wakubwa.
 
Mbilia abbel🤔😄, ndo nani huko daslam🤣
Mbilia Bel alikuwa Malikia wa Muziki wa Kilingala ambao miaka ile ya 90 wakati ndiyo tunastaafu utumishi alikuwa anatamba...

Kusema kweli Wastaafu wa miaka ile alitupata hakika 😜

Unataka kumfahamu? Mwangalie hapo Chini;

Screenshot_20240131-090535_1.jpg
 
Mbilia Bel alikuwa Malikia wa Muziki wa Kilingala ambao miaka ile ya 90 wakati ndiyo tunastaafu utumishi alikuwa anatamba...

Kusema kweli Wastaafu wa miaka ile alitupata hakika 😜

Unataka kumfahamu? Mwangalie hapo Chini;

View attachment 2889433
Eti miaka ya 90 😄, mzee una swaga🤣🤣🤣.
👉Ki mzeee huyu ndi ali wazuzua🏃🏃
 
Eti miaka ya 90 😄, mzee una swaga🤣🤣🤣.
👉Ki mzeee huyu ndi ali wazuzua🏃🏃
Ni kama ninyi mnavyozuzuka na akina Poshy Queen ama Mobero nasi miaka ile ilikuwa hivyo.

Kumbuka miaka ile hakukuwa na UTI sugu kama sasa 😜

Back to business;

Umeshapata eneo la kufungua Kiwanda Chako?

Ingia kwenye website ya Alibaba uangalie mitambo ya uzalishaji then jiunge kwenye ile safari ya China aliyosema Mshana Jr ukafanye window shopping
 
Japo hiyo itategemea zaidi aina ya Maji...

Kama Maji hayana chumvi Wala tope sidhani kama atahitaji kununua huo mtambo
It's compulsory kuwa na huo mtambo kwasababu bila hvyo yatakuwa maji ya dawasa mkuu na kila mtu angekuwa na kiwanda.
 
It's compulsory kuwa na huo mtambo kwasababu bila hvyo yatakuwa maji ya dawasa mkuu na kila mtu angekuwa na kiwanda.
Okay...

Shukrani Kwa maarifa, ila biashara ya Maji bado imekuwa na Soko kubwa sana japo makampuni yameongezeka.

Kuna Kampuni Moja naona wanauza carton 1 shilingi 3,400 Maji ambayo kule Mbeya wanauza 5,500
 
Inategemea na source ya maji yako kwa mfano kilimanjaro ni spring bakhresa ni visima sasa maji ya kisima yana process kuliko spring kwa hyo bei inategemea na manufacturing process yako mkuu lakini kwenye sabuni kuna hela mkuu maji siku hizi yamekuwa mengi sana.
 
Shukrani Kwa maelezo yako ya kina

Ndiyo maana Kuna haja ikafanyika tathmini ya kina kwenye njia zote mbili za Uwekezaji.
 
Back
Top Bottom