Cjaelewa hiiTengeneza juis kwa kusindika mkongoraa,na changanya na vumbi la Kongo,andaa good packaging kama juice za Apolina then ingiza mjini,walah kesho TBC watakuomba interview.
Pole ,,alimaanisha ujinga ufuatao....dawa ya kuongeza nguv za kiumeCjaelewa hii
kiwanda cha alizeti hawez ku install kwa ml.4 may be 7 or 8Uko mkoa gani?
Unaweza kuanzisha kiwanda cha mafuta ya alizeti, karanga ufuta nk.
Lete details Zaid mkuuKiwanda cha Toothpicks itapendeza zaidi
ukikausha utabaki na mafuta...hivi ndivyo wanavyotengeneza mafuta ya nazi. Huwa wanakuna then inakaushwa halafu inakamuliwa. Lakini biashara ya mafuta ya nazi pia sio mbayaKinachoondoka sio tui bali majimaji yalio kwenye tui.tui lina vitu vingi ndani yake.unapokausha unaondoa majimaj tuu
Kinachoondoka sio tui bali majimaji yalio kwenye tui.tui lina vitu vingi ndani yake.unapokausha unaondoa majimaj tuu
Hujaweka sawa gaharama mkuu ya kuanzisha kiwanda bado kiwanja na jengo LA hicho kiwanda.. Bado umeme na issue za wiring... Naomba udadavue vizuriKwa kiwango cha pesa ulicho nacho nakushauri ufanye kati ya biashara zifuatazo:
1. Nunua mashine za kutengeneza peanut butter. Mashine hizo ni peanut grinder, peanut roster na meza ya kufanya sorting. Hiyo hela itatosha na utabakiwa na kiasi fulani cha kunjnua raw materials (karanga) za kutosha za kuanzia.
2. Biashara ingine nunua mashine ya kusaga na kukoboa unga wa mahindi na uwe unapaki. Mashine hizo fanya zitumie motor moja ku run mashine zote mbili ili kuokoa gharama. Hapa sidhani kama utakuwa na hela ya materials ya kuanzia.
Pia kwenye case zote mbili nime assume utakuwa na shed ya kuweka hizo mashine.
Kila la heri
Naomba niwe msimamizi wako mkuu tunaingia mkataba.... Nimuaminifu na ni mkweli... Sina record yeyote ya udanganyifu wala udhurumaji.. Usiuze mkuu ntasimamia kwa moyo wote naomba uni dm chief... Tuongeze kipato...1.Vifaa vyote vipo Dodoma
2. 3 phase induction motor. 18.5kw. 380v.50hz
Inaweza kamua hadi gunia 50 kwa siku
3. i. It is straight foward business unauza mafuta then unakuja uza mashudu bado utauza tope (ugido).I will guide on every step.
ii. Tatizo ni usimamizi nakosa muda. Na vijana wengi siku hizi sio waaminifu kabisa!
Karibu
Machine inayokoboa karanga ipo?
Kweli mkuu bado sehemu ya kuweka hicho kiwanda. Zen ujenge [emoji809] wiring na umeme sio simple kiivyo.. Mi nipo najenga kiwanda cha kukoboa na kusaga kinaniendesha hicho kinyamaaBiashara ya kukoboa na kusaga nakataa.mtaji wake vinu.umeme na installation ni zaidi ya 12m
kweli, mil 4 hapo hata location ya kuweka kununua/kukodi haipo.Kweli mkuu bado sehemu ya kuweka hicho kiwanda. Zen ujenge [emoji809] wiring na umeme sio simple kiivyo.. Mi nipo najenga kiwanda cha kukoboa na kusaga kinaniendesha hicho kinyamaa
wazo la pili mkuu nadhani ni gharama zaidi ya hiyo budget.Kwa kiwango cha pesa ulicho nacho nakushauri ufanye kati ya biashara zifuatazo:
1. Nunua mashine za kutengeneza peanut butter. Mashine hizo ni peanut grinder, peanut roster na meza ya kufanya sorting. Hiyo hela itatosha na utabakiwa na kiasi fulani cha kunjnua raw materials (karanga) za kutosha za kuanzia.
2. Biashara ingine nunua mashine ya kusaga na kukoboa unga wa mahindi na uwe unapaki. Mashine hizo fanya zitumie motor moja ku run mashine zote mbili ili kuokoa gharama. Hapa sidhani kama utakuwa na hela ya materials ya kuanzia.
Pia kwenye case zote mbili nime assume utakuwa na shed ya kuweka hizo mashine.
Kila la heri
[emoji1]Nunua vyerehani nane alafu muite magufuli aje kufungua kiwanda cha kubadili katani na pamba kuwa nguo.
[emoji23]Kiwanda cha maandazi
mchanganuo na gharama,Kiwanda cha Toothpicks itapendeza zaidi